Kuna mtu anakuja kububujikwa machozi hapaWakuu,
Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika!
Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka Maafisa Usafirishaji Dodoma maarufu kama bodaboda kuacha kutembea na tairi zilizoisha 'kipara' kwenye pikipiki zao ambazo husababisha ajali zinazopelekea vifo na vilema vya maisha.
Mhe. Senyamule ameyasema hayo wakati akizindua rasmi kampeni ya Gurudumu la Mama eneo la Machinga Complex Jijini Dodoma yenye lengo la kupunguza ajali za Bodaboda Nchini kwa kuwawezesha Madereva Bodaboda kupata tairi mpya kwa mkopo nafuu wa kulipa taratibu taratibu.
View attachment 3349179
Goli la mama, Walevi wa mama, ng’ombe wa mama, gurudumu la mama, mama, mama, mamaaaa, mamaa. Duh hawa chawa wametuchosha na mama yaoWakuu,
Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika!
Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka Maafisa Usafirishaji Dodoma maarufu kama bodaboda kuacha kutembea na tairi zilizoisha 'kipara' kwenye pikipiki zao ambazo husababisha ajali zinazopelekea vifo na vilema vya maisha.
Mhe. Senyamule ameyasema hayo wakati akizindua rasmi kampeni ya Gurudumu la Mama eneo la Machinga Complex Jijini Dodoma yenye lengo la kupunguza ajali za Bodaboda Nchini kwa kuwawezesha Madereva Bodaboda kupata tairi mpya kwa mkopo nafuu wa kulipa taratibu taratibu.
View attachment 3349179
Unakuta mtu ulikuwa huna hata wazo lolote ghafla unachokonolewa na hizi kampeni. Tunalazimishwa kuingizwa kwenye reli ya lifwele kwa lazima."Unamdipu" mafwele mkuu? 😂
Lukas mwashambwa aka jingalaoKuna mtu anakuja kububujikwa machozi hapa