Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mimi sipendekezi uende Burkina Faso, bali ningelipenda unywe sumu ufe tukuzike sie wengine tuendelee na Mama!Wakuu,
Yaani huu mwaka huu hadi tuombe maji, hakuna kupumzika!
Ningepata nauli ningeenda Burkinafaso tu, hii nchi ukifuatilia mambo ya serikali unaeza kupata blood pressure.
===============
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka Maafisa Usafirishaji Dodoma maarufu kama bodaboda kuacha kutembea na tairi zilizoisha 'kipara' kwenye pikipiki zao ambazo husababisha ajali zinazopelekea vifo na vilema vya maisha.
Mhe. Senyamule ameyasema hayo wakati akizindua rasmi kampeni ya Gurudumu la Mama eneo la Machinga Complex Jijini Dodoma yenye lengo la kupunguza ajali za Bodaboda Nchini kwa kuwawezesha Madereva Bodaboda kupata tairi mpya kwa mkopo nafuu wa kulipa taratibu taratibu.
View attachment 3349179
Wacha weeeeeWakuu,

Mimi sipendekezi uende Burkina Faso, bali ningelipenda unywe sumu ufe tukuzike sie wengine tuendelee na Mama!
Watu wapo kwenye Biashara zao..., achana tu na kwamba wanafukuzia Teuzi na kutaka Sifa bali huyo aliyeandaa huo mpango wa kuwakopesha hao boda ili waweze kulipa taratibu huenda ameshashusha kontena zake kadhaa na ana stock ya kutosha hivyo kapitisha Rupia hapa na pale ili kuondoa udhia....
Usishangae Traffic wakianza kuwashika boda na kuwaelekeza waende wakapate mkopo wa Tairi...
Hii nchi kuanzisha MIRADI ndio ishakuwa MIRADI....
Kwahiyo kiherehere ndicho kimekufanya uje kuandika humu? Ungelikuwa na akili ungefanya maamuzi yako, ukapiga kimya! Acha kiherehere!!!Sijakuomba ushauri. Nilishafanya uamuzi na ndo maana nikaja kuandika hapa.
Ushauri wako ukusanye na kuupackage vizuri kisha upeleleke Lumumba.
Wala usiende popote. Ule msemo wa kiswahili usemao kuwa ngoma ikivuma sana iko karibu kupasuka unaujua? Siona namna nchi inawezewa kuongozwa kwa ''ujanja ujanja'' namna hii na ikabaki salama kwa muda mrefu au wananchi wakaendelea kudanganyika kwa muda mrefu.Wakuu,