Jezi Adidas,huwa Wana design Fulani hivi Kali sana,zile wanavaa man u,real Madrid au al ahly ya misriNike ni kampuni kubwa sana lakini angalia jezi wanazowatengenezea Chelsea ni hovyo kabisa.
Jezi za nyumbani za Chelsea kwa misimu kama mitatu ni za hovyo sana
Zipi? Hizi unazosema mbaya? Hizi zilizotoka jana hapana Kwa kweliHizo ndo org za msimu huu
Lini , wapi ? Na rage ndio nan?We ndo mwanachama halisi wa Rage
asante zawjat mbumbumbuPole mbumbumbu