Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba

Sisi wa bongo wengi wetu uwa tunaingia chaka ki urahisi sana, Kama ulifuatilia zile ahadi za ule mkataba na uka zi tafakari, mtu makini lazima upate wasiwasi kwakua hazitekelezeki kwa Mazingira yetu ki u uwekezaji au katika biashara ya kawaida.
 
Kwani Mkuu kwa hii misimu mitatu iliyopita ni lini Simba walikuwa na Jezi nzuri? Kumbuka ile timu imejaa makanjanja almaarufu wazee wa 10% kwenye kila idara kwahiyo wanachozingatia ni maslahi binafsi kwanza kisha timu baadaye.
Kwa kifupi kwasasa Simba ipo mikononi mwa madalali wabobevu
 
Kuna wale wengine wameamua kubana matumizi kwa kushona sare zitakazovaliwa kwenye mechi na vikao vya chama.
 
Nike ni kampuni kubwa sana lakini angalia jezi wanazowatengenezea Chelsea ni hovyo kabisa.

Jezi za nyumbani za Chelsea kwa misimu kama mitatu ni za hovyo sana

Hata Adidas amekuwa akilaumiwa kutengeneza jezi mbovu kwa Man Utd tofauti na Arsenal.

Hoja yako haina mashiko, tusubirie kwanza jezi zije tuzione lakini daima mapungufu hayakosekani
Jezi ya Chelsea ya home msimu uliopita na msimu huu ya away ni jezi kali sana.
 
Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno.
Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora

Diadora ni kampuni kutoka Italia na imejijengea heshima kubwa hasa kuvalisha mastaa wakubwa wa mchezo wa tennis 🎾

Hapa kwetu katoa kituko, lakini tukumbuke diadora Kwa Sasa hana timu Ulaya anayoitengeneza jezi.

Diadora amejikita kuzalisha jezi mchezo wa tennis 🎾 tu labda Kwa uchache ana timu mbili za football huko Brazil

Sisi kama Wanachama wa Simba jezi hatijazipenda ni mbaya mno, Bora hata sandaland ambaye japo aliziita jezi zetu sanda ila amewazidi jayrutty na diadora wake

Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu wana Simba tunadanganywa mnoView attachment 3452141View attachment 3452142View attachment 3452143
Ukiondoa quality ya picha, kama kweli hizo zilizovuja ni jezi mpya za Simba, basi ni jezi kali sana
 
Back
Top Bottom