Sina uhakika kama diadora ndo watengezaji wa jezi za Simba


HERSI NDO AMEKUTUMA UJE UWANANGE SIMBA? HAPO UMEMFORWARDIA HII MSG PIA AIONE.
 
Jezi za Simba zinazoenda kuzinduliwa ni hizo hizo walizovaa kwenye pre-season.
 
Sisi wa bongo wengi wetu uwa tunaingia chaka ki urahisi sana, Kama ulifuatilia zile ahadi za ule mkataba na uka zi tafakari, mtu makini lazima upate wasiwasi kwakua hazitekelezeki kwa Mazingira yetu ki u uwekezaji au katika biashara ya kawaida.
Sema tu kwa summary, mkataba wa jezi za Simba ni wa thamani kubwa ya fedha kiasi kwamba hakuna klabu hapa nchini isingependa kuupata, maana hata Yanga inapata sh. 1,300/= tu kwa jezi moja. Ndio maana ni ngumu kuingia akilini Simba waliwezaje kupata mabilioni yote yale na mdhamini!
 
Nyinyi kila mwaka huwa mnaingia mikataba ya mabilioni na wadhamini wenu! Ila linapokuja suala la output inayotokana na hiyo mikataba, mara zote hugeuka na kuwa kiini macho.
 
Nyinyi kila mwaka huwa mnaingia mikataba ya mabilioni na wadhamini wenu! Ila linapokuja suala la output inayotokana na hiyo mikataba, mara zote hugeuka na kuwa kiini macho.
Output ni kuendesha klabu. Kila mtu abaki na malengo yake
 
Nenda IG waulize na uhakika watakujibu vizuri afu huyo alopiga picha hizo jezi alikuwa anatumia itel
 
Utakuwa uto wewe.. jezi za simba ndio jezi Kali katika Ligue ya NBC kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…