adam junior93
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 205
- 252
Genta katika ubora wakeSteve Nyerere humjui au ni Ududuna ( Upumbavu ) tu unakusumbua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genta katika ubora wakeSteve Nyerere humjui au ni Ududuna ( Upumbavu ) tu unakusumbua?
“ Wasanii wengi wa Kiume wa Tanzania hawana Nguvu za Kiume ndiyo maana wengi Wao wanatumia sana Dawa za Kulevya na hupenda pia Kufakamia hovyo Supu ya Pweza na kudanganyika kutumia Vumbi la Kongo “
Ni matumaini yangu makubwa mno kuwa mara baada ya Kukurupuka Kwake kutoa Kauli hii basi Steve Nyerere atakuwa tayari ameshajiandaa Kisaikolojia kwa ama majibu atakayopata kutoka kwa Wasanii au Vipigo vya uhakika kutoka Kwao kwani najua kuwa kuna Wasanii wengine huko nyuma Historia zao za Kimaisha walishakuwa Mabondia wazuri tu wa Ngumi za Ridhaa na wengine ni Wacheza Kung Fu na Karate wazuri sana.
Kazi ipo!