Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

wanawake wa siku hiz kama mashetani yan.. hata aibu hawaoni kuja hapa na kisingizio et jamaa hayupo vizuri kitandan.... mnakimbilia ndoa kisa anagar na nyumba ssa ujana unawaaaumbuaaaa... matusi yako yote dunian kwako

una uhakika na babayako?
 
hahaaaaa wanaume wa jf watakatifu teh teh....
hongera bibie tunza mimba mpotezee mchepuko na maisha yasonge mbele...
wengine humu baba washauri huku kila siku wanasheherekea papuchi za wake za wanaume wenzao...
 
Kwa ushauri kama utakufaa sister moreen richadson, ni hivi kama unahofia huwenda makubwa zaidi yakazuka apo mbeleni katika maisha yako juu ya sintofahamu ya iyo mimba,basi nakushauri nenda mahakamani ukafungue shauri la ndoa la kudai talaka ili uachike,na sababu kuu utayoitoa mahakamani ni kwamba ndoa imevunjika na haiwezi kutengenea(irreparably brokendown)kwa sababu mumeo hana tena uwezo wa kukutekelezea haki ya ndoa,kitombo(he is impotent).

Mahakama huzingatia sababu hii kwa msingi kwamba tendo la ndoa(conjugal right) ndio msingi wa ndoa yenyewe na kulikosa ilo tendo ni cruelty kwa kweli...hapa itabidi uiridhishe mahakama kwa kutoa ushahidi mbali mbali juu ya hatua mlizochukua kulitibu tatizo la mumeo na hatimae kushindikana kabisa!so utaieleza mahakama kwamba, hili jambo wewe linakutesa sna kweny ndoa yako na hivyo unahofia kuja kumsaliti mumeo wakati mkiwa kwenye ndoa(japo hili ushalifanya tayari)...

Hivyo kama binaadamu unahitaji mtu wa kukuna vizur K inapoanza kuwashawasha, nazani ukijieleza vizur mahakama baada ya kumsikiliza na mumeo pia, itatoa kitu kinachoitwa decree of divorce, kwa sababu mahakama haiwalazimishi wanandoa kuendelea kuishi pamoja endapo kuna mazingira yanayoashiria ndoa haiwezi kuwa durable anymore....Kuanzia hapo nazani utakuwa free kutafuta dushe lenye nguvu km simba dume ili lichokoe vizuri dafu!

NB: Nimekushauri hivyo kutokana na maelezo yko na kwamba moja ya sababu ya wewe kuchepuka ni pamoja na kuwa mumeo ni goigoi na ivyo halimudu vyema tendo la mgegedano...na kwamba tatizo lake limekuwa sugu sana licha ya kuhangaika huku na kule kutafutafuta solusheni,na wakati wewe kiharage kinakuwasha saaaana na mkunaji mwenyw ndo ivo tena..mtarimbo umelala doro
 
Ndio wake zetu hawa, tutafanyaje sasa!


Inasikitisha sana mkuu,yaani ukiangalia kwa jicho la tatu kuna mwanaume mwenzetu anaenda kupigwa changa la macho kwamba mimba na hatimae mtoto ni zao lake kumbe masikini ya Mungu vyote si'vyake na kulea atalea..taasisi ya ndoa imeingiliwa na wanawake wasiojua nini maana yake,ukisoma bandiko lake utaona kabisa mwanamke alishafaham kwamba jamaa ana tatizo some where na akijua kabisa kwamba hatoridhishwa alimng'ang'ania hadi kufikia kufunga ndoa leo anamfanyia haya..naamini Mungu watu kama hawa atawalipa kinachowastahili..vijana/wanaume wenzangu mke mwema anatoka kwa Mungu,ukitaka kuoa sali sana kwa imani unayoiamini akuonyeshe yule atakaeweza kuendana na madhaifu yako aliyokupa,otherwise haya yalompata huyu yatatuzunguka kila siku,imeniumiza sana hii na kama maradhi utaletewa nyumbani huku ukiamini kwamba wewe huchepuki kumbe mwanamke anasaula nguo kama anamwaga radhi!!!
 

Hovyooooooooooo!, jinga sana wewe. Shule uliudhuria lkn elimu hukupata. Hopeless kabisa.........
 
aisee nakubaliana na aliesema unatia kinyaa..
 
Mkuu Mgirik post yako #85 ina sh*t na points za maana sana...wanawake waliosoma ni mtihani ktk ndoa,(si'wote),juzi kati nlisoma humu jamaa wa kikenya akiomba ushauri kupata pesa alizomkopesha mfanyakazi mwenzake mke wa mtu,m/mke alimvulia ch*pi huku ana mimba ya miezi saba jamaa akapigia ofisini na wakati huo mmewe yupo nje kwenye parking anamsubiri mkewe waondoke home..ni mtihani sana kaka..
 
Last edited by a moderator:
Yule jamaa aliesema akili za wanawake ni za kuvukia barabara sasa naanza kumwamini
 
Kaa nao chini wote wawili uwahoji na uwaeleze ni lazima mwenye mimba ajiweke wazi la sivyo unatumbua jipu!! Ukiwa serious na ukaonyesha sura ya mbuzi atajitokeza tu!!

Ha! Ha! Si kichekesho lakini mkuu umenifanya ni cheke saaana
 
Kwani siku hiyo ya kumi na nne ndiyo uliingia kwenye joto yaani ovulation? Kwa mwanamke makini huwa anajua si siku tu bali hata dakika anayoingia ovulation! Kama wakati ulipokuwa unakutana na mchepuko tayari ulikuwa umefanya ovulation hiyo mimba ni ya mchepuko! Kama uliingia ovulation kesho yake, yaani siku ya 15 basi mimc ni ya mume! Mbegu zina uwezo wa kukaa masaa zaidi ya 48 zikiwa hai! Lakini kwa kadri muda unavyoenda ndivyo zinavyopungukiwa nguvu! Kwa hiyo japo mbegu za wote wawili zilikuwemo kwenye tumbo la uzazi siku ya 15, lakini ni za mumeo zilizokuwa bado na nguvu nyingi maana zilikuwa na muda kidogo toka zitolewe! Yai likitoka tu huko kwenye ovary huwb zina uwezo wa kunusa hivyo kuanza mbio za kulipokea kupitia kwenye fallopian tube! Mbegu moja itakayokuwa ya kwanza kufika kwenye yai sehemu ya juu ya fallopian tube ndiyo huungana na yai na kuanza kutengeneza mtoto! Mbegu zote kwa mamilini zilizochelewa huwa zinakubali matokeo na zinajifia! Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii pana na tamu na jinsi ya kujua dakika ya kuingia ovulation karibu pm!
 
Hivi hizi ip iddress mtu hawezi itrack na kujua mtoa post ni nani? Be careful

Kwanza maarifa kisha maisha...

Kila jambo binadamu lazima ujifunze ndipo uishi...

Kama hutaki jifunza then uta jifunza the hard way...


Ndiyo kama huyu Atajifunza the hard way...
Ndiyo leo naamini statement criminal psycholog

Kwamba nobody can get away with the crime...


Binadamu ndiyo tumeumbwa hivyo..
We were not supposed to commit crime reason tuki commit hatutoki!

Asante!
 
Safi sana...Haon dmbi anahofia mimba
 

Mama weeeee......
Daktari asante...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…