Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Attachments

  • 1449623884497.jpg
    1449623884497.jpg
    12 KB · Views: 264
Last edited by a moderator:
Kiukweli haiwezekani, zaidi ya kuhisi tu upande wa uchovu na harufu, ila ktk kei, huwezi jua! Inaweza ikawa imesinyaa tu au kupwaya kwa sababu zake! Ila usijaribu kabisa kumfanyia mr. Wako hivi, ni tusi kubwa sama na Mungu atakuadhibu!


Personally it is the only reason that will make me split away with her...

Awe mke awe girlfriend

Sihitaji ushahidi saana dalili za mwanzo tu nachapa lapa


..... na wala sitomrudia teeeeeeeeeeeenaaaaa daima na milele!
 
[MENTION=50658]Hivi hujagundua leo humu wanaume wote ni watakatifu a.k.a mashahidi wa jehova.


Maumbile tulivyoumbwa hakuna mwanaume anaeza simama kushuhudia ukweli kwamba even a gal friend analiwa na mtu mwingine sembuse mke..


Hizo ni masculine behaviours!
Madam

Nature doesn't take selfie...
Doesn't concern with anybody opinions - National Geographic Channel slogan moja amazing
 
km kuchepuka wacha wachepuke ila hili la kumletea mtu mtoto asie wake alee as if ni wake,, huu ni UVUNJAJI WA HAKI ZA WANAUME!!

wanawake wa aina hii hata sijui wapewe adhabu gani



Nafikiri ndiyo maana wahenga walisema kitanda hakizai haramu...

Imagine huyo chalii bado yupo embryo sijui nini....

Akizaliwa akawa na talent akawa rich ama akawa kama Obama?

Cha msingi mama never mind imeshatokea sasa hata ni vyema ukafanya ya msingi ya kutaka kuelewa ni mtoto wa nani kwa DNA tu hapa unajichoresha fulani hivi lakini kwakuwa ushasema basi sawa...


Nina wasi wasi kwamba hata ukielewa ni mtoto wa nani bado akiwa amazing star huko mbele utamsimulia kisa chake cha kuja duniani?

Husiwe curious saana hii kitu ita ku hunt saaana ndugu....

Kaa chini jipe muda tafakari utapata jibu.......

Na ukitaka isikuwinde fanya maamuzi magumu tu utakuwa na amani once and for all ( mueleze mumeo ukweli, lakini anzia counseling kwanza na ikiezekana watafute wakuu m discuss hii kitu...

Ili isije kuku hunt... kama mie ni mumeo hapo ni ndoa kwisha na sitokusamehe daima... lakini kipi ni bora?

Bora kuwa haunted au ku face reality?

moreen richadson
 
Last edited by a moderator:
Hapa ukiangalia zaidi ya wanaomsapoti huyu mwanamke wengi wao ni
. Kundi moja wote vuruka njia,
. Wameachika,
. Wamezalisha na kuachwa sababu ya kurukia mambo,
. Makahaba.
. Ktk hali ya kawaida huwezi kuunga mkono ushenzy huu.

spot on
 
Naomba bastola yangu kwenye chaji pale nifumue mtu ubongo.............hawa watu ndo wanafanya dunia inakuwa siyo mahali salama pakuishi na joto kuongezeka

ahahahaha... umenifurahisha sana kiongozi
 
Kumbe wanaosema mama ndiye anajua baba wa mtt hawako sawa!

Sip mara zote kauli hiyo huwa na ukweli, kwa situation km hii labda hadi mtoto akishazaliwa ndio unajua.
 
Mkuu Mgirik post yako #85 ina sh*t na points za maana sana...wanawake waliosoma ni mtihani ktk ndoa,(si'wote),juzi kati nlisoma humu jamaa wa kikenya akiomba ushauri kupata pesa alizomkopesha mfanyakazi mwenzake mke wa mtu,m/mke alimvulia ch*pi huku ana mimba ya miezi saba jamaa akapigia ofisini na wakati huo mmewe yupo nje kwenye parking anamsubiri mkewe waondoke home..ni mtihani sana kaka..

Mungu tunusuru
 
Last edited by a moderator:
Kaa nao chini wote wawili uwahoji na uwaeleze ni lazima mwenye mimba ajiweke wazi la sivyo unatumbua jipu!! Ukiwa serious na ukaonyesha sura ya mbuzi atajitokeza tu!!

future prezdent wa tz ni wewe
 
Mweee leo wanawake tutakula za uso, Kila mtu anaghairi kuoa eti mwee. Sawa kakosea sana lakini ndo isiwe fimbo ya michongoma sasa, mnatuzibuaje. Akikosea mwanamke mmoja wote mnaghairi kuoa, mbona akifanya zuri mwanamke mmoja, hamuwi inspired kuoa?

Bado hujaolewa?
 
suala la kuwa na mchepuko hilo linajulikana na wote tunatambua ndio maana japo tunakuta hamna bikra lakn tunaoa wakat huo tunajua hyo bikra haikutoka yenyewe.

Na unafki ni kama alioufanya huyu mtoa maada anamwita hubby huku anamletea watoto wa nje. Ilitosha achepke basi lakn angemheshimu kwa kutomletea damu za watu wa nje.
.
Kibao kikigeuziwaga kwenu mnaona mnaonewa sana teh nicheke kama mazuri
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mkuu hapo probability ni 0.5... Issue ni uwezo wa sperms ndo utadetermine mshindi... Ningekua ndo wewe ningetoa tu hiyo Mimba halafu nianze upya! Ukiona wachezaji wanarudisha mpira Nyuma ujue hiyo mechi ni ngumu.
 
Wakorintho wa kwanza 6; 18-20
Ikimbieni zinaa. Dhambi nyingine zote atendazo mtu ziko nje ya mwili wake, lakini yeye aziniye hutenda dhambi ndani ya mwili wake mwenyewe. Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu, akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe, kwa maana mmenunuliwa
kwa gharama. Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu na katika roho zenu ambazo ni mali ya Mungu



Case in point....Wakorintho.
Jiulize, kama mtu si muumini wa hiyo dini ama dini yeyote ile tulizoletewa hapa Afrika na watu wa nje, hii inamuhusu nini muulizaji ama wengine wanaopenda kujuwa ushauri nasaha?
 
Mtoa post usitoe visababu vya kijinga ili tukuunge mkono.
Wala usisingizie eti mumeo ana matatizo wakati umeshasema kwamba huo mchepuko wako ni wa longtime na unalipa fadhira za kusomeshwa.
Inaonekana ni tabia yako kuchepuka tena hata bila kutumia kinga.
Mbona unahatarisha maisha ya mwenzako?
Je umeshamweleza huyo mchepuko wako kama una mimba?maana naye ni mume wa mtu.
Hakika wanawake wa karne ya sasa hawaamini hata kidogo,kuna haja ya kuwa tuna pima dna za watoto wetu sasa.
 
Ungemstahi mumeo kwa siku hiyo,ndio tabia gani kumuacha mumeo aogelee kwenye dimbwi la mi sh#/$! Ya mchepuko wako?
 
Back
Top Bottom