Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

'Hakuishia hapo amenisaidia kupata kazi pia, alioa kabla hatujafahamiana, si mtu mzima kiviile, nadhan ana 40+ kwa sasa'

Hiyo quote hapo juu ina maana mgekutana mapema angekuoa wewe???? Kwa nini wanawake mnapenda sana kujiona bora kuliko mliowakuta?????? Mchepuko ndio nafasi yako huwezi kuwa mkewe wewe
 
Ili jukwaa sijui vinavyoandikwa vina ukweli cjui vya kutunga maana ni upuuzi mtupu.
 
Hapo sasa, na kwa nini akubali kuolewa na mtu anayesimamisha mara moja kwa wiki kama alijua hatoweza kustahamili?
Ha ha aiseee eti anasimamisha kwa wiki Mara moja, nimecheka sana, watu bwana
 
ukisoma post za me utajua wengi wameghadhabisghwa sana na huu uzi wa dada.

lakin tuje kwenye ukweli hivi ni me wangapi ambao wanazaa nje ya ndoa zao na wana michepuko hata 3 kwa nyakati moja?

kila mtu ana haki ya kusema jambo ila unapohukumu jiulize wewe je u msafi zaid ya unaye mhukumu?

well, mtoa mada kwasabb umeuliza mimba ni ya nani mie nakupa jibu mimba ni ya uliyekutana nae wa kwanza, kwasabb tayari mbegu zake zilishatangulia kwenye mfuko wako wa uzazi kabla ya za mumeo.
 
Hata kama angekunyofolea moyo wake na kukupa. Hukutakiwa kufanya kosa kama hilo. Una ksi kubwa sana duniani na mbinguni. Omba toba ka mungu wako. Hata kama utakuja kugundua ni mimba ya mchpuko hunancha kufanya zaidi ya kumpa mzigo wako mumeo. Maana ndiye mumeo halali jamii haitakulewa utakapo fanya kinyumna haya. Endapo akigundua mumeo muelze ukweli itakuwa rahisi kukusamehe.
 
The fastest swimmer ndio anaye fertilize yai! Sasa kwa vile mme wako ana cum haraka huenda hata they swim fast. Mtoto wa nje hajifichi yaani unazaa mtoto wa kiume photocopy of the cheating father
 
Hi,

Nimeshika ujauzito ila nimeshindwa kuelewa kama ni wa Rafiki yangu au Mr..

Nilikutana na Rafiki jioni ya siku ya kumi na nne ya mzunguko wangu, usiku nikakutana na mr, baada ya hapo sijakutana na wote hadi siku ya 21 ya mzunguko nilipokutana na hubby tena.

Msinielewe vibaya, sijapenda, iko hivi. Nina Rafiki yangu ambae ni Mume wa mtu, tumetoka mbali, yeye ndio aligharamia elimu yangu ya chuo kwa 80%, Diploma 2 yrs na Degree 3 yrs, sikufaulu vizuri form six nikalazimika kuunga unga.

Hakuishia hapo amenisaidia kupata kazi pia, alioa kabla hatujafahamiana, si mtu mzima kiviile, nadhan ana 40+ kwa sasa. Nlipoanza kazi akajitokeza mchumba tukafunga ndoa, niligundua ana matatizo makubwa kuhusu unyumba kabla hata ya ndoa ila nilidhani with time litaisha ila tatizo liliendelea na kuzidi baada ya ndoa, ejaculation inachukua less than two minutes hadi 4 to 5 days ndipo anapata erection tena. I promised myself never to be unfaithful, lakini imeshindikana.

Somehow, i don't know how tukaanza upya mawasiliano na yule ex wangu ambae nilikua nikimkwepa tangu nimeolewa ingawa hakukata tamaa.

Tatizo lenyewe ni hili:-

Nilikutana na hubby siku ya 6 ya mzunguko mpya, hatukufanya tena hadi siku ya 10 ya mzunguko nikakutana na yule Rafiki yangu, sikufanya tena maana Mr alikua safari, hadi siku ya 14 ya mzunguko nikafanya tena na Rafiki yangu. Ilikua jioni after work, usiku bila kutarajia Mr angekua amerudi akanihitaji tukafanya usiku, sikufanya tena na yeyote hadi siku ya 21 ya mzunguko nilipofanya tena na hubby. Na ninahisi mimba iliingia siku hiyo ila ndio sijui ni ya rafiki jioni au Mr usiku.

Kwa mahesabu haya naomba mnaojua mnisaidie kuona ni lini hapo mimba iliingia na inaweza kuwa ya nani?

Nahitaji ushauri kuhusu hilo eneo la mimba, hayo mengine mwachieni ngoswe.

Asante..
Acha uzinzi na umalaya ww mwanamke! Km mumeo hakuridhishi kwanini ulikubali kuolewa nae??

Subiri kufa kwa UKIMWI,
 
Back
Top Bottom