Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

Wakorintho wa kwanza 6; 18-20
Ikimbieni zinaa. Dhambi nyingine zote atendazo mtu ziko nje ya mwili wake, lakini yeye aziniye hutenda dhambi ndani ya mwili wake mwenyewe. Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu, akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe, kwa maana mmenunuliwa
kwa gharama. Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu na katika roho zenu ambazo ni mali ya Mungu
 
Fasta niwekee hapa siku ulioingia bleed kabla hujakutana nao.
 
Ndugu yetu, tazama majibu na matusi uliyopewa. Ninaamini kuwa hakuna kosa lisilosameheka, lakini kweli waweza fanya kosa la namna hii na ukaja ukalianika kwenye mtandao? Uaminifu ni hazina, lakini ukishindwa kuwa mwaminifu angalau tumia busara. Yaani hata kumlinda kidogo huyo mr. wako haujaona umuhimu? Katika karne hii mbona hakuna haja ya kwenda nje, tena peku, na kusema ati "tumetoka naye mbali".

Usikubali kuonekana mwanamume anakudai bwana, kwani thamani yako ni kubwa kuliko huto tuvitu alivyokudanganyia navyo. Ulikuwa peke yako, sasa wewe umekua, tena hata una mme, basi uwe na swaga la mtu mwenye mume bwana. Utamlipa hadi lini? mara ngapi?

Pili, ukikosea, pata ushauri kwa faragha, namna hii umedhalilisha wanawake wote. (Hata mimi nimejisikia kuchefukwa na kudhalilika). Tatu, pole sana, utapata mtoto ambaye daima atakukumbusha matendo yako, na hata siku akiumwa ikatakiwa damu, baba akipimwa ili amtolee mtoto, au mambo mengine ya kiafya, sijui utafanyaje. Akiambiwa kwa majibu haya ya damu haiwezekani wewe uwe baba yake, je ndio utakwenda kwa huyo mwizi wako? Utamwambiaje mtoto? kweli ya ngoswe mwachieni ngoswe!

Jibu langu kama daktari: kwa hayo uliyoandika huwezi kuwa na uhakika mtoto ni wa nani. Unaweza kufanya paternity test mtoto akizaliwa. Au, iwapo daktari akijua blood group yako, ya mtoto, ya Mr, na ya yule ndugu, kuna uwezekano wa kutambua kuwa mtoto ni wa nani, iwapo group zao zitakuwa hazifanani.
 
Kwanini ulikubali kuzini huku umeolewa?potelea mbali tuseme ulizidiwa, sasa kwanini hukivaa condom na unajua hukuwa safe.
Usiangaike kujiuliza ni ya nani mana hata ukijua kama hauko tayari kuachika ni kazi bure cha msingi we assume ni ya mmeo.
 
We don't judge you but you are careless, irresponsible and unfair to your marriage and to God -
with the question , scientifically Not you nor us can precisely know to whom the baby belongs : both can be and both cant be the fathers . Subiri DNA test .
 
I always ask myself hawa wahusika huwa na accounts jf huwa wanajiskiaje baada ya kusoma haya? trust me wanaelewa maana mtu anajijua kabisa kwamba ye alikusomesha blah blah na huyu mwengine anajijua ye stimu zake za msimu anaunganisha picha anaelewa dah! yani hii mitandao hii
 
ya alieanza anza na ni mtoto wa kiume...
hongera kumtuza rafiki yako zawadi ya mtoto.
so mwez wa nane nitakupm kumuona mtoto.
usimuue
 
Linapokuja swala LA Mimi kuoa na ninapopitia posts kama hizi huwa nakata tamaa sana kuhusu Dada zetu...Anyway...muda utaongea na utajua tu mini cha kufanya..Kwani huyo mumeo ushamwambia una mimba???
 
Mtoto wa zinaa ni mtoto wa mama. Na kwa jinsi ulivoeleza atakuwa wa rafiki yako.
By the way allah atakupunish kwa hili mtoto atafanana na rafiki yako. Yeye ndo mjuzi wa yote
 
hata kama alikupa mimba ni huyo rafiki yako lakini mtoto atakuwa wa mumeo coz ham,na namna nyingine ukitaka kuharibu ndoa yako mwambie huyo mumeo mimba sio yake
 
Ungekaa na mumeo umwambie hakuridhishiMbona tatizo lake linatibika tuu jama then mngepanga solution na haya ya kuchepuka yasingefikia huku...
 
ya alieanza anza na ni mtoto wa kiume...
hongera kumtuza rafiki yako zawadi ya mtoto.
so mwez wa nane nitakupm kumuona mtoto.
usimuue
Scientifically, this is may or may NOT be true. reasons: The first man might have oligospermia or azoospermia (Low or no sperm count in semen), Or the egg might not have reached the time for fertilization; hence the first encounter does not lead to fertilization. On the other hand, if the egg was fertilized by the first man, then it will be his baby. A woman can also ovulate 2 eggs which can be fertilized by 2 different men, when this happens it is possible to have twins, each belonging to a different father.
 
hongera, Mimba ni ya Rafiki jion!
Facts, naamini hujaoana na huyo bwana karibuni(i mean kukutana) na huo sio mzunguko wa kwanza kukutana na hubby, it means ulikuwa unakutana nae mara nyingi na hukubahatika kupata ujauzito, na rafiki hukuwah kumpa kipindi ukiwa danger zone, now alipata hiyo fursa na kafanya yake.
Hata angekuwa ni rafiki usiku na hubby jion still ingekuwa ni ya rafiki tuu.
tafuta njia na kuficha aibu, huna namna

Na kama kuna deviation kubwa ya rangi na sura kati yao unalo kwa mawifi na wakwe.
HONGERA kwa kupata ujauzito, wenzio wanaufuata hadi ulaya kwa pesa nyingi na hawapati.
 
komaa tu kujifariji ni ya mmeo...kwani ukijua ni ya mchepuko utafanyaje!!
 
Back
Top Bottom