Sina utajiri wowote na uchawi nao nikose kweli?

Kama kweli hutanii unajua kuwa ni wachawi ndo wanakusababishia hayo magumu? Yani ukaungane na adui yako, mkuu inakuja kweli?
 
Kwa hatua nilofikia sasa naona ni halali yangu kujifunza uchawi bila ivo nitakufa bila kuacha historia yeyote apa duniani

Mimi wa kukosa mchumba kweli kisa umaskini
I can feel you
"Penzi la njaa halikawii kufa"
Tatizo lingine ni huyo mganga wa kweli kumpata😀😀
 
Utakufa kwa kuchomwa moto baada ya kushindwa kuyeyuka baada kuroga watu
Hio ndio historia utaachaa
 
Tafuta pesa......watakuja wenyew mpaka utakimbia
 
Kwa hatua nilofikia sasa naona ni halali yangu kujifunza uchawi bila ivo nitakufa bila kuacha historia yeyote apa duniani

Mimi wa kukosa mchumba kweli kisa umaskini
Unaweza ukakosa vyote lakini hakikisha haumkosi Yesu, ama sivyo utaacha jina tu kwenye kaburi lako
 
Mkuu usisahau feeback ya ulikoenda kujifunza,na mimi niende
 
Kuteseka kwenye maisha haimaanishi kwamba baadae mambo yatakua mazuri, unaweza hata kufa eti
 
Usikate tamaa kwenye maisha ni dhambi kila mtu ana fungu lake ni swala la muda tu,kuwa mvumilivu na zidisha maombi.
 
Kwa hatua nilofikia sasa naona ni halali yangu kujifunza uchawi bila ivo nitakufa bila kuacha historia yeyote apa duniani

Mimi wa kukosa mchumba kweli kisa umaskini
Utanigeee na mie ukishapata huo uchawi mwanawane.. Na mie nipate mchumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…