Sina utajiri wowote na uchawi nao nikose kweli?

Sina utajiri wowote na uchawi nao nikose kweli?

Ukiwa mzee maskini na uchawi huna vijana wanakua hawakuogopi unageuka mtani wao
 
Kwa hatua niliyofikia sasa naona ni halali yangu kujifunza uchawi bila hivyo nitakufa bila kuacha historia yeyote hapa duniani.

Mimi wa kukosa mchumba kweli kisa umasikini?
🤣🤣🤣Ila jamani
 
Back
Top Bottom