Since 2005, Kenya has spent a cumulative $8.8 billion (Sh884billion) on military hardware

Machine hizi zinamasafa ya kufa mtu. Hii ndio TZ bana

 
Angalia vile unazidi kujionyesha vile unauelewo mdogo sana kwa mambo ya militaries.... You are not my size my friend..... Alafu hayo ya internet na website... unasema nini sasa...... how much do you know about SIPRI, do you know how much respect SIPRI commands in the global defense circles??? hehe ungetamka hayo maneno mbele wa mkusanyiko wa wanajeshi kwa arms trade fulani ungenyongwa hapohapo... Sipri is not just anyone on the internets, SIPRI is the 5th most influential think-tank in the world! Magenerali wa nchi kubwa kubwa hata hao mara kwa mara wanajulikana kuulizia mawaidha , trends, predictions kutoka kwa hio organisation. The fact that you don't know sipri na una claim unajua mambo ya defence.. nkt ata wacha niache hapo tu.


Anyway, afadhali hao waizi wetu.. Si tuliwafuta kazi mara moja ..... Lile Jeshi La Wabakaji Watotoz linaendeleaje?? mnabaka watoto chini ya miaka kumi na tatu ata hamna aibu mpaka inabidi mfungiwe kambini...hahahaha ai...hilo jeshi lenyu bado primitive..linahitaji kufundishwa basic human behavior mwanzo
 
Vitungua ndege unavijua wewe? cheki hapa sasa. Only TZ huko kenya ni wavuta bange tu
 
Kwikwikwi sasa kaa mkao wa kula nakuletea zana za kazi za JWZ. KDF ni wanyonge mno wanatembea kama miss kenya
Huyu hapa
 
Machine hizi zinamasafa ya kufa mtu. Hii ndio TZ bana

View attachment 418468 View attachment 418469 View attachment 418470
Now who is showing off... hivi ndo vifaa ambavyo unafaa kuficha sasa.... FYI hio miaka yote kenya haijawai kuonyesha zile tutaita stratejic assests ambazo hua zinaeza badilisha battlefield kwa madakika, hatujawai onyesha SAM ama air defence systems hata siku moja .... Zile vitu zengine kama vifaru,APC hivyo ni vitu vya kawaida unaeza onyesha...but you never show your defence capabilities!!!
 
Al Shaababs hupenya kambini kwa KDF huwachapa wakiwa wamelala! Hamna jeshi jinga kama KDF, naskia walinzi wa zamu wakiona Al Shaababs hukimbia..
 
Kenya mko wapi hapa? Kwikwikwi Jeshi la wanyone la Kenya
 
Kwikwikwikwi umeanza kuufyata mkia sasa. Subiri nakuwekea mipicha ya kufa mtu leo utanikoma.
 
Hii ni TZ wewe sio wanajeshi wanyoooonge wa kenya
 
Wakenya karibuni muone hapa tunaongelea nchi kavu tu
Ona hivi vifaa vinavyofanya kazi

Kikiwa kimetulia

Kikiwa kwenye maangamizi
 
Hawa ndo special forces wenu.
yani nakwambia naona hizi picha nasikia kucheka....hao ndo special forces yani.gsu yetu yenye ilipiga ug kule western iko poa zaidi ya hawa wasee
 
yani nakwambia naona hizi picha nasikia kucheka....hao ndo special forces yani.gsu yetu yenye ilipiga ug kule western iko poa zaidi ya hawa wasee
Gsu yetu yenyewe iko more modernised than their special forces
 
Hao ni polisi si jeshi
Hata mimi nimekupatia police sijakupatia mwanajeshi. Kama unataka ligi kwenye police tuanze. Maana jamaa yako aligoma akasema nisiweke hizo ndio maana nikaanza na jeshi la nchi kavu jinsi ya kutungua videge vyenu vya kinyooonge vya kenya.

Wewe njoo tu vyoyote na utajua sasa kwanini TZ ni 27.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…