mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Pole sana Mkuu.
Nendeni Hospital haraka lakini pia hizo
sindano kwa watoto wengine huwatoa
majipu ni vzr kuwaona wataalam ambao
pia wataona hali halisi ya mtoto.
Jipu limepasuka lenyewe usaha mwingi umetoka, nikakamua kidogo hadi damu ikaanza kutoka.
Kesho still Clinic.
Mkuu, Nadhani inawezakuwa aliyemchoma sindano alimchoma sehemu mbaya au alirudia eneo 1. Ilikuwa sindano ya chanjo gani?.
Huwa ni BCG ya kifua kikuu wengi huita ndui na kama haijaacha kovu baada ya miezi mitatu inarudiwa
Siyo miezi 3 ni siku aliyozaliwa ni lazimaMambo hayo ya kumdunga mtoto sindano ya kifua kikuu akiwa na miezi 3 ndiyo huwa siyapendi kabisa. Hivi ndui ni lazima eti?