Focus120
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 1,089
- 793
Habari za humu ndani wana jf.. mwenye uelewa tafadhali naomba anisaidie.
Nina rafiki yangu wa kike amechomwa Sindano kwenye kiuno chake juu kidogo ya Makalio yake, huwa naangalia sana ile sehemu bila kupata majibu Sasa nashindwa kuelewa kwakuwa kila nikimuuliza ananijibu " You don't wish to know ".
Mwenye uzoefu au uelewa wowote juu ya hili naomba anieleweshe tafadhali.
NB: Tafadhali usitumie lugha ya matusi, nimeomba tu msaada nieleweshwe sina nia yoyote mbaya kwa mtu. Kama huna jibu tafadhali keep calm. Asanteni.