Sindano ya kiuno ina maana gani?

Sindano ya kiuno ina maana gani?

Focus120

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
1,089
Reaction score
793
Habari za humu ndani wana jf.. mwenye uelewa tafadhali naomba anisaidie.

Nina rafiki yangu wa kike amechomwa Sindano kwenye kiuno chake juu kidogo ya Makalio yake, huwa naangalia sana ile sehemu bila kupata majibu Sasa nashindwa kuelewa kwakuwa kila nikimuuliza ananijibu " You don't wish to know ".

Mwenye uzoefu au uelewa wowote juu ya hili naomba anieleweshe tafadhali.

NB: Tafadhali usitumie lugha ya matusi, nimeomba tu msaada nieleweshwe sina nia yoyote mbaya kwa mtu. Kama huna jibu tafadhali keep calm. Asanteni.
 
Mwenye jibu unakula na kulala nae lkn kwa makusudi kabisa umekuja kuwauliza wasio na majibu!
 
Sindano ya nini? Kwa kutibu ugonjwa au ganzi alipokuwa anajifungua?
 
We kijana ina maana ulianzisha hii sredi na huku?
 
Back
Top Bottom