Sindano ya Testosterone

Sindano ya Testosterone

Naomba madaktari na wale wenye uelewa mzuri wa sindano hii ya kuongeza homoni ya testosterone wanisaidie.
1. Hivi mtu anaweza kutumia sindano hiyo ya testosterone kwa miaka ht kumi???
2. Je kuna watu ambao wametumia sindano hiyo ya testosterone kwa muda mrefu na ikawasaidia???
3. Je sindano na gel ya kupaka bora nini.
4. Zile testosterone replacement therapy zone zinapatikana tanzania???

Nb: haya ni matatizo naomba tusaidiane. Kwani km hayakuhusu wew Leo lbd yatakuhusu kesho au kuna ndugu yako anayo tunapopata wa kutusaidia tunapata maarifa zaidi

Mwisho: je kuna dawa mbadala inayoondoa tatizo
Km kuna mtu anatumia sindano hiyo ya testosterone naomba anicheki WhatsApp anisaidie vizuri 0764556760


Natanguliza shukrani zangu za dhati
Mkuu kama unataka kwa ajili ya nguvu za kiume maybe 🤔 you might think again
 
Uko sawa ht mimi nilisoma hapo ndo maana sio vizuri kupokea kila kitu asante mkuu
masta ina madhara usidanganyike; kukosa nguvu za kiume kunaanzia kichwani, masta inapunguza confidence, inachosha mwili na akili. Masta inapunguza ufanis katika kaz.
 
hawajamuona Baltazar Ebang Engonga at 54 anachowafanya wadada 😀
Yaani vijana wakati mwingine nawashangaa Sana..... mwanaume akijitunza vizuri mpaka miaka 80 huko anapeleka moto vizuri tu.........

Mavyakula haya ya maabara yameharibu sana vijana..... kijana wa miaka 30 anashindwa kupeleka moto mpaka aongezee vitu........

Ukitaka kujua kuwa vijana hawana kitu....tangaza dawa ya nguvu za kiume uone wingi wa wateja wako
 
Back
Top Bottom