Sindano ya Testosterone

Mkuu kama unataka kwa ajili ya nguvu za kiume maybe πŸ€” you might think again
 
Uko sawa ht mimi nilisoma hapo ndo maana sio vizuri kupokea kila kitu asante mkuu
masta ina madhara usidanganyike; kukosa nguvu za kiume kunaanzia kichwani, masta inapunguza confidence, inachosha mwili na akili. Masta inapunguza ufanis katika kaz.
 
Umri huo Bado sana.....na damu inachemka......labda uongeleee kwenye 65 huko ndio unaweza kuona dalili za uzee........nyie vijana nani anawaongopea.......
hawajamuona Baltazar Ebang Engonga at 54 anachowafanya wadada πŸ˜€
 
hawajamuona Baltazar Ebang Engonga at 54 anachowafanya wadada πŸ˜€
Yaani vijana wakati mwingine nawashangaa Sana..... mwanaume akijitunza vizuri mpaka miaka 80 huko anapeleka moto vizuri tu.........

Mavyakula haya ya maabara yameharibu sana vijana..... kijana wa miaka 30 anashindwa kupeleka moto mpaka aongezee vitu........

Ukitaka kujua kuwa vijana hawana kitu....tangaza dawa ya nguvu za kiume uone wingi wa wateja wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…