Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Vipi sasa nitumie dawa gani ambayo itashusha izo hormone.Hizo ni effect ya madawa lakini pia umesema una tatizo la hormone inbalance hili pia husababisha hedhi kuruka vipindi.
Nakuomba nisaidieHizo ni effect ya madawa lakini pia umesema una tatizo la hormone inbalance hili pia husababisha hedhi kuruka vipindi.
Lovenessy naomba umtafute gynaecologist atakushauri vizuri utumie dawa gani kulingana na case yako.Vipi sasa nitumie dawa gani ambayo itashusha izo hormone.
Sawa,nimtafute APA APA jamii form au facebkLovenessy naomba umtafute gynaecologist atakushauri vizuri utumie dawa gani kulingana na case yako.
Hapana nenda hospitali kwani hio sindano uliipigia wapi? Si urudi pale pale ulipoipigia uwaelezee watakutibu?Sawa,nimtafute APA APA jamii form au facebk
Nilichoma kwenye dispensaryHapana nenda hospitali kwani hio sindano uliipigia wapi? Si urudi pale pale ulipoipigia uwaelezee watakutibu?
Nilichoma dispensaryHapana nenda hospitali kwani hio sindano uliipigia wapi? Si urudi pale pale ulipoipigia uwaelezee watakutibu?
Na alienichoma hayuko wananiambia mpak arudi.Hapana nenda hospitali kwani hio sindano uliipigia wapi? Si urudi pale pale ulipoipigia uwaelezee watakutibu?
Sawa daaahCjui kwa nini hawajakujibu vizuri! Hawajui au sababu ni jukwaa ulilovamia. Kwa ufupi ni hormonal imbalance. Muone dakitari au kwa kifupi tu tumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa mda wa mwezi mmoja. Hali yako itarudi kawaida. Shukuru Mungu kwa kupata tatizo dogo wengine huteseka sana hadi mishipa ya fahamu. Madakitari hawasemi ukweli ila hakuna njia mbaya tena mbaya kama kutumia sindano.

Laiti wanawake mngejua Madhara ya hizo sindano/dawa za uzazi msingetamani hata kuziona.Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
mi naona mauzauza kwa aliyeleta uzi huu!Hakuna shida hapo, ulipoenda kupata hiyo huduma walipaswa wakueleze kuwa ukiacha inaweza kuchukua miezi 3-9 kurudi kwenye mzunguko wako wa kawaida.
Husababisha k kunuka sanaPole ila wengi wakishachomwa hukaa hata miezi 6 mpka mwaka kwakuwa manesi hawasemi ukweli wa madhara makubwa ya dawa hizo