Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Kwanza uwasilishaji wa Hoja umekosea na Jukwaa ulilotumia pia Umekosea.. ungeweka kwenye Jukwa la Doctor....Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz