Sindano ya uzazi wa mpango imeisha muda wake toka Novemba ila sijapata hedhi mpaka sasa

Sindano ya uzazi wa mpango imeisha muda wake toka Novemba ila sijapata hedhi mpaka sasa

Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Kwanza uwasilishaji wa Hoja umekosea na Jukwaa ulilotumia pia Umekosea.. ungeweka kwenye Jukwa la Doctor....
 
Kwani hamna njia nyingine mpaka zitumike hizo dawa au sindano? yani unakuta mtu amenenepeana kama kifutu kisa hiyo midawa... alafu ana mihasira hasira na kununa nuna bila sababu!!!

NASEMA HIVII KWANGU HIZO DAWA NI MWIKO!
Bora anenepe k iliwe sasa

K inakauka na anapoteza msisimko na nyege zooote unakuta mtu anakwambia anampa tam mumewe Mara moja kwa mwezi[emoji134] [emoji134] hatari sana lkn ndo hivyo kuzaa kila mwaka nayo Mh ni mbaya sijui tufanyeje hata
 
Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Walikausha kila kitu pole,Hujawahi sikia ni hatari?
 
Bora anenepe k iliwe sasa

K inakauka na anapoteza msisimko na nyege zooote unakuta mtu anakwambia anampa tam mumewe Mara moja kwa mwezi[emoji134] [emoji134] hatari sana lkn ndo hivyo kuzaa kila mwaka nayo Mh ni mbaya sijui tufanyeje hata
Haya ndio matatizo nnayokwambia na ndio siyataki!! nitatumia njia nyingine ambazo ni safe ila sio haya madawa, vidonge mara vijiti big NO!!
 
polee ni vema ukajifunza kutumia njia za asili kuliko hizo za hospitalini
 
Hayo mavitu mabaya, na siku ukipata siku zako jiandae kumwaga damu nyingi kuliko kawaida,pole.
 
Nimechoma sindano mwaka Jana mwezi 9 mwilini inakaa miezi mitatu ambapo ilitakiwa kuisha mwezi Wa 11 katikati ya mwezi ila mpaka Leo cjaona siku zangu.naomba jmni ushauri wenu plz
Cjui kwa nini hawajakujibu vizuri! Hawajui au sababu ni jukwaa ulilovamia. Kwa ufupi ni hormonal imbalance. Muone dakitari au kwa kifupi tu tumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa mda wa mwezi mmoja. Hali yako itarudi kawaida. Shukuru Mungu kwa kupata tatizo dogo wengine huteseka sana hadi mishipa ya fahamu. Madakitari hawasemi ukweli ila hakuna njia mbaya tena mbaya kama kutumia sindano.
 
Na akizaa kila mwaka utaendelea kumpenda hivyohivyo!!?

Acha uongo mkuu hata wangu alisema hivyo na kwa utoto ule nikaitikia mimba ya tatu Ndio nilijua kweli mkoje nyie sangara midindisho, putuuuuu
hahaaa SANGARA Tena daahhh
mkuu
kesho utatuita SATO
 
Hizo ni effect ya madawa lakini pia umesema una tatizo la hormone inbalance hili pia husababisha hedhi kuruka vipindi.
 
Back
Top Bottom