Sindano za makalioni; wale tusiopenda /waoga wa hii kitu tukutane hapa.

Sindano za makalioni; wale tusiopenda /waoga wa hii kitu tukutane hapa.

Mimi nilikuwa mgonjwa nikalazwa hospital kosa daktar alilolifanya ni kuniambia kwamba nitachomwa sindano za makalio saa saba kamili ya usiku. Ilipofika saa sita na nusu nikatoroka

We huna akili ungesema wakuchome za mishipa mkononi ukatoroka kabisa ehee ulipona [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna manesi wanakuchoma sindano huku wakisindikiza na maneno mazuuri yenye mvuto "pooooleeee"...... Lakini kuna wale uso wa mbuzi na akikuchoma sindano maumivu yake hayaelezeki halafu inachukua muda sana kupoa
 
Back
Top Bottom