Sindikiza Message yako na picha ya mtoto mkale/handsome boy

Sindikiza Message yako na picha ya mtoto mkale/handsome boy

@Majany kama nakuona unavyomnyapia.
View attachment 871958
Dah....huyu tena Zero IQ au huyu?
IMG-20180913-WA0123.jpg
 
Hivi ikitokea mnayempost yuko humu hakuna mtafaruku wowote?

Hizi thread zingine nadhani siyo fair.
 
Uki- concentrate kwenye huu uzi ukaambiwa simama il hali ulikuwa umekaa ni taabu tupu.

Kama masihara uzi unayoyoma tu.
 
Tupieni misambwanda ya kibongo bhana ya wazungu aihamasishi vizur
 
Dadek, hahahah...

Ladies n gentlemen, nadhani imeshaeleweka nini muhimu.
Tusiulizane maswali ambayo kila mtu ana majibu.
 
Back
Top Bottom