Sinema (movie) za Vichekesho za watoto ambazo sio Katuni

Sinema (movie) za Vichekesho za watoto ambazo sio Katuni

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032
Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila ningependa kuzijua zaidi ambazo si za katuni.
 
Kaka Yule mzee aliyetengeneza Tom na Jerry alikuwa na akili sanaa.
Mpaka leo hajatokea wa kumpita.
Zinakuja animation lakini tom na Jerry bado wapo kwenye chat.
Ukiangalia kipindi Chao teknolojia haikuwa kubwa lakini wameweza kutengeneza kitu ambacho kinaishi Karne na Karne
[emoji1787][emoji1787]
 
Ila hizo zote ni Cartoon

Coco
Kung Fu Panda 1,2,3
Rio 1&2
Rango
Trolls
Secret life of pets
Cars
Madagascar
Hotel Translivenia
Moana
Sing
Hivi hakuna tofauti kati ya cartoon na animation? Nadhani hizo ni animations.
Nyongeza ya animations nyingine nzuri ni

Zootopia
Home
King Midas
 
Home alone
Baby's day out
Crazy safari
Yankee Zulu.
Mad buddies
 
Back
Top Bottom