Sinema (movie) za Vichekesho za watoto ambazo sio Katuni

Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila ningependa kuzijua zaidi ambazo si za katuni.

Kama una smart au simu tafuta youtube kids ina usimamizi mkali na unaweza kuseti umri wa mtoto kulingana na ufahamu wa vipindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…