Weka rekodi sawa, sio tamasha la kwanza nchini, kumeshakuwa na matamasha kadhaa.Heri ya Pasaka wapendwa;
Leo pale maeneo ya Mlimani city hall kutakua na tamasha la film la kwanza Kwa hapa Tanzania ambapo tuzo mbalimbali za film zitatolewa usiku wa Leo kwa wasanii waliochaguliwa kuwania tuzo hizo;
Katika tamasha hilo pia kutakua na msanii kutoka India anayeitwa Preetika Rao.
Karibuni wapenzi wa sinema japo Bongo movie ishakufa ila ndo vya kwetu hvyo;
Wamesema wenyewe Azam TV ninalojua Mimi ni ZIFFWeka rekodi sawa, sio tamasha la kwanza nchini, kumeshakuwa na matamasha kadhaa.
Labda kama ueleze jambo maalum na la kipekee litakalokuwepo hapo tofauti na ilivyofanyika kwingine.
Wanajifagilia tu kwa kupotosha, labda waseme watakuwa na idea mpya tofauti za kunogesha mambo.Wamesema wenyewe Azam TV ninalojua Mimi ni ZIFF
Wengine tupo mbali hatuoni. Mtuhabarishe yanayojiri, hasa kwenye red carpetYule mdada Berth sijui kashonaje looohhj!km anaenda kanisani
Haijakufa in such ila inapumulia mashine.Kwa kweli maana bongo movie ilishakufa kabisaa!
Rais Mstaafu yupoNamuona kikwete yulewww
Kea hiyo ndo wanajigamba kuwa tuzo za kipekee ...hizo gharama si wawaongezee washindi hata balimi 4Wamemualikaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]aje kuona utoaji wa tuzo