Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Heri ya Pasaka wapendwa;
Leo pale maeneo ya Mlimani city hall kutakua na tamasha la film la kwanza Kwa hapa Tanzania ambapo tuzo mbalimbali za film zitatolewa usiku wa Leo kwa wasanii waliochaguliwa kuwania tuzo hizo;
Katika tamasha hilo pia kutakua na msanii kutoka India anayeitwa Preetika Rao.
Karibuni wapenzi wa sinema japo Bongo movie ishakufa ila ndo vya kwetu hvyo;