Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Basi tembea uchi kabisa maana hata nguo hukuzaliwa nazoHuo ndo muonekani wa mwanadamu haya mengine ya utanashati ni makuzi tu tumekutana nayo shule vinginevyo nywele zetu zilitakiwa ziwe zimejisokota