Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Jamani Wema kanuna huyooo kile kicheko ni cha kufoji tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Na manywele yake kama mavuzi ya jini. Ila ana sauti tamu[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Yaani ni full vituko ,Diamond alikuwa anaona ona aibu tu , alipotajwa na Hamisa kuwa yeye ndiye mwanaume aliyependeza zaidi alishtuka sana akaanza kuangalia pembeni kwa aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekuja wote aka wamekaa pamoja au ni vipi...nipo Itabagumba Sengerema huku sina Tv
 
Jamani Wema kanuna huyooo kile kicheko ni cha kufoji tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Na manywele yake kama mavuzi ya jini. Ila ana sauti tamu[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mama weeeee! Nilikuwa sijamuona Wema kwa nyuma, Duh Kafungasha huyo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…