Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] Nyungo halafu kapaka usembe
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
CEO wa Azam Media, afadhali umeona hilo, kwa mzee baba yetu Mhe, rais mstaafu wa awamu ya nne Doctor Jakaya Mrisho Kikwete. Huyu mzee tabasamu lake tu ni sinema tosha linaburudisha na kuleta raha.
 
Sorry Lady Red, yule mdada amevaa nguo nyekundu yaani ni Lady in red. Msije mkachanganya hapa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Nlikua nakusoma kwa karibu lol yawezekana ndo mim
 
CEO wa Azam Media, afadhali umeona hilo, kwa mzee baba yetu Mhe, rais mstaafu wa awamu ya nne Doctor Jakaya Mrisho Kikwete. Huyu mzee tabasamu lake tu ni sinema tosha linaburudisha na kuleta raha.
Jamani hadi raha!

Sijui Diamond ataondoka na nani Leo?!
 
SZIFF-SINEMA ZETU INTERNATIONAL FILM FESTIVAL, ndio imekwisha, alamsik
 
Hawezi kuzima, ye hajasifmiwa eti! Ila hata kama ni mimi ndio ningekuwa dangote, leo Mobeto asingetoka salama.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila kahamisa kalipendezaaa haswaa na white yake na walimechisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…