Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Bora aachane tu na diamond hata kama anampenda saana ifike mahala inabid akubali hali halisi ...... yaani kuna mda hamisa alikuwa anaulizwa jina lake na mtangazaji unaona kabisa diamond face was like wooow
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani nilijiskia vibaya Wema mpk chozi lilikua linamtoka bora alivyopata tuzo aisee
 
Hawa Nina wasiwasi walipanga,,,maskini wema,,,afu sasa hivi hawaendani tena na diamond mana kawa na jimwili kubwa Sana
Kawa mkubwa Wema kwa Diamond
Muda anaulizwa msanii gani alivyomtaja Diamond "Mondi aling'ata menoo"
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani nilijiskia vibaya Wema mpk chozi lilikua linamtoka bora alivyopata tuzo aisee

Na hiyo tuzo yenyew angekuwepo lulu asingepata ..... Afanye michongo mingine tu ameshakua mdada sasa.
 
Ila mi nilijua atashinda Wema hata tuzo mbili maana asingepata daah!
But those two killed the night!!!
 
Wolper hajapata hata moja?
Naona wema roho ilitaka kumtoka kuona hamisa na daimond wapo pale mbele alitamani awe yeye
 
Bora aachane tu na diamond hata kama anampenda saana ifike mahala inabid akubali hali halisi ...... yaani kuna mda hamisa alikuwa anaulizwa jina lake na mtangazaji unaona kabisa diamond face was like wooow
Ahahahah face language ee,,Daimond anampenda Hamissa ,na ndio maana misa kiburi ,,wema hajapenda kabisa naona anatamani angezaa yeye akawa yeye na daimond kila mahala,mi namuombea Hamisa aoane na Daimond jamani wanapendezana
 
Hivi Wema alishindwa hata kumsifia Mrisho Mpoto kuwa kapendeza?
 
Ahahahah face language ee,,Daimond anampenda Hamissa ,na ndio maana misa kiburi ,,wema hajapenda kabisa naona anatamani angezaa yeye akawa yeye na daimond kila mahala,mi namuombea Hamisa aoane na Daimond jamani wanapendezana

Misa aoane tu na mondi .... wanapendeza saana!!! Wema aendelee na mambo mengine tena apunguze maisha ya insta kabisa
 
Akimuona Dai anachanganyikiwa maskini,we hujagundua dai alivyokuwa na zari wema alikuwa kimyaa,penzi la zari lilivyokufa tu wema akawa kama kachizika kasahau kuwa kazaa na hamisa,,atafute mwanaume mwingine badala angejikalia na idris tu
 
Kabisa wema aache kujichoresha kwenye media na dai .... if tc all about fuckn bora wafanye kimya kimya !!! Atafute mmahusiano mengine
 
Akiwa na daimond ndio anafurahi zaidi ,,lakini muda ushapita atagute mwanaume awe nae mwingine awe kikazi tu na daimond
 
Back
Top Bottom