Kumbe hizo za grammy huwa haziendani na mshiko???Mkuu ukiambiwa tuzo za Grammy hulambi hata mia si utazimia kabisa?!
Aachane tu na Diamond [emoji23]Nimeziona clips U tube...
I can conclude by saying....
Wema got badly badly hurt..
Pole nyingi kwake.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani nilijiskia vibaya Wema mpk chozi lilikua linamtoka bora alivyopata tuzo aiseeBora aachane tu na diamond hata kama anampenda saana ifike mahala inabid akubali hali halisi ...... yaani kuna mda hamisa alikuwa anaulizwa jina lake na mtangazaji unaona kabisa diamond face was like wooow
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani nilijiskia vibaya Wema mpk chozi lilikua linamtoka bora alivyopata tuzo aisee
Wolper hajapata hata moja?Ila mi nilijua atashinda Wema hata tuzo mbili maana asingepata daah!
But those two killed the night!!!
Ahahahah face language ee,,Daimond anampenda Hamissa ,na ndio maana misa kiburi ,,wema hajapenda kabisa naona anatamani angezaa yeye akawa yeye na daimond kila mahala,mi namuombea Hamisa aoane na Daimond jamani wanapendezanaBora aachane tu na diamond hata kama anampenda saana ifike mahala inabid akubali hali halisi ...... yaani kuna mda hamisa alikuwa anaulizwa jina lake na mtangazaji unaona kabisa diamond face was like wooow
Lazima atakuwa ameondoka na hamisaJamani hadi raha!
Sijui Diamond ataondoka na nani Leo?!
Afdhali wema hajavaa mabwanga,,halaf hiyo gauni kaiga ya kim ,kila sherehe mabwangaTeam Wema wamefanya kazi!
Ahahahah face language ee,,Daimond anampenda Hamissa ,na ndio maana misa kiburi ,,wema hajapenda kabisa naona anatamani angezaa yeye akawa yeye na daimond kila mahala,mi namuombea Hamisa aoane na Daimond jamani wanapendezana
Akimuona Dai anachanganyikiwa maskini,we hujagundua dai alivyokuwa na zari wema alikuwa kimyaa,penzi la zari lilivyokufa tu wema akawa kama kachizika kasahau kuwa kazaa na hamisa,,atafute mwanaume mwingine badala angejikalia na idris tuMisa aoane tu na mondi .... wanapendeza saana!!! Wema aendelee na mambo mengine tena apunguze maisha ya insta kabisa
Ila mi nilijua atashinda Wema hata tuzo mbili maana asingepata daah!
But those two killed the night!!!
Akimuona Dai anachanganyikiwa maskini,we hujagundua dai alivyokuwa na zari wema alikuwa kimyaa,penzi la zari lilivyokufa tu wema akawa kama kachizika kasahau kuwa kazaa na hamisa,,atafute mwanaume mwingine badala angejikalia na idris tu
Akiwa na daimond ndio anafurahi zaidi ,,lakini muda ushapita atagute mwanaume awe nae mwingine awe kikazi tu na daimondKabisa wema aache kujichoresha kwenye media na dai .... if tc all about fuckn bora wafanye kimya kimya !!! Atafute mmahusiano mengine
Nimeshangaa kwakweli dohJamani mimi sijaelewa. Kinachoshinda ni sinema au mtu au kikundi? Nielewesheni jamani aaarrrgggghhhhh!