Dah!Tanesko wangaaa wamekata umeme mtatusimuliaaa loojhj
Possible kabisaaWamemkomesha Tido Mhando na event yake
Kamaliza kuongea Mwansiasa Nguli Dkt Jakaya Mrisho khalfan Kikwete Mizega
Tuko mtaa mmoja nini ??[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kamaliza kuongea Jakaya I hope mtarudishiwa UmemeYaani dah!utatupa mrejesho maana hapa tumedodaa
Possible kabisaa
Kwetu tayariiiiKamaliza kuongea Jakaya I hope mtarudishiwa Umeme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JK mswahili sanaJk anakwambia Bongo Movies mpaka kusonya wanaiga wanavyosonya Kwenye Movies za ki Nigeria
JK anakuchana kwa lugha laini kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawapakaaa
Anko rich sio mchafu ndo alivooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee makini sanaKuna jaji mmoja mchafu mchafu sana hapa , anaitwa uncle Rich ni mchafu mpaka anaboa
Kuna jaji mmoja mchafu mchafu sana hapa , anaitwa uncle Rich ni mchafu mpaka anaboa
Muonekano wake sijaupenda kwa kweli , hayupo nadhifu kabisa madevu hovyo hovyo, manywele hachani ,nguo mbaya ,yani kero tupuAnko rich sio mchafu ndo alivooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee makini sana
Rasta fMuonekano wake sijaupenda kwa kweli , hayupo nadhifu kabisa madevu hovyo hovyo, manywele hachani ,nguo mbaya ,yani kero tupu