Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Kuna Dongo aliwatupia Simba na Yanga kimtindo kuhusu kununua Mechi Watu wengi hawakuelewa lakin wenye Tabia hizo walielewa ndio Sababu Haji Manara akacheka sana mpka Jk akamtaja kuwa anacheka sana
Kama Sio Mtu wa vijiweni huwezi ijua ile falsafa
Jk mhuni mhuni sana!
 
JK mjanja mjanja sana ,mzee wa town , ana maneno ya shombo huyo balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili tamasha limeingia mvuto wa ajabu baada ya msanii wa kimataifa grade one Diamond Platnumz Chibu Dangote kuonekana .

Yule mzee wa Yooooooo Mr Kibamia naona bado anapambana na hali yake baada ya kubambikiwa mtoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…