Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Jamani mimi sijaelewa. Kinachoshinda ni sinema au mtu au kikundi? Nielewesheni jamani aaarrrgggghhhhh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loihhh!ngoja wenye team zao wamtukaneee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] kang'ata menooo!Hamisa Mobeto kamtaja Diamond kuwa ndiye mwanaume aliyependeza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Diamond moyo umempiga paaaaa
Uliona na kwa Idris Sultani pale ,watu tulidhani atamtaja Wema Sepetu lakini akamtaja Gabo , aisee Idris ssio mzima kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani kanichekeshaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha ubaguzi mkuuKaswidar tena...hapa waandaaji wamebugi
Hahahaha hahahaha, aiseeeeeHamisa Mobeto kamtaja Diamond kuwa ndiye mwanaume aliyependeza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Diamond moyo umempiga paaaaa
He did that makusudically [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Uliona na kwa Idris Sultani pale ,watu tulidhani atamtaja Wema Sepetu lakini akamtaja Gabo , aisee Idris ssio mzima kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kutupa apdate mnafaidi sana wakuu[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani kanichekeshaaaaa
Ubaguzi gani tena nimeleta?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha ubaguzi mkuu
Yaani ni full vituko ,Diamond alikuwa anaona ona aibu tu , alipotajwa na Hamisa kuwa yeye ndiye mwanaume aliyependeza zaidi alishtuka sana akaanza kuangalia pembeni kwa aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha hahahaha, aiseeeee
Mwanzo mgumu, TUNZO za mwakani zitaongezeka pesa tuwape mudaPesa ndogo sana to be honest!!
Kwani Kaswida zina ubaya gani?Ubaguzi gani tena nimeleta?
Sepenga hayupo??? HahahahahahahahaYaani ni full vituko ,Diamond alikuwa anaona ona aibu tu , alipotajwa na Hamisa kuwa yeye ndiye mwanaume aliuependeza zaidi alishtuka sana akaanza kuangalia pembeni kwa aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]