Sinema Zetu international Festival kufanyika Leo Mlimani city;

Jamani mimi sijaelewa. Kinachoshinda ni sinema au mtu au kikundi? Nielewesheni jamani aaarrrgggghhhhh!
 
Pesa yenyewe kiduchuuu ,sasa Millioni moja ndio pesa gani sasa ? Angalau ingekuwa milioni 10 na kuendelea
 
Diamond naona anaona aibu hapa kumtazama Hamisa Mobeto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamisa Mobeto kamtaja Diamond kuwa ndiye mwanaume aliyependeza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Diamond moyo umempiga paaaaa
 
Hamisa Mobeto kamtaja Diamond kuwa ndiye mwanaume aliyependeza zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Diamond moyo umempiga paaaaa
Loihhh!ngoja wenye team zao wamtukaneee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] kang'ata menooo!
 
Uliona na kwa Idris Sultani pale ,watu tulidhani atamtaja Wema Sepetu lakini akamtaja Gabo , aisee Idris ssio mzima kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
He did that makusudically [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…