Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Sio mahali pake hapo.Kwani Kaswida zina ubaya gani?
Sepenga yupoSepenga hayupo??? Hahahahahahahaha
Kwa nini?Sio mahali pake hapo.
Patamu haoooooo hahahahaSepenga yupo
Kaawida onapigwa kwenye shughuli za waamini wa kiislam. Ila tuyaacheKwa nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaboa hao
Leo utawajua mkuu endelea kutazama[emoji1] [emoji1] [emoji1] kiasi tunafaidi japo siwajui waigizaji wa bongo movie
Kwani wameweka kaswaidaaa?Nasubiri kwaya ya rose muhando kama wataweka kubalance uislam na ukristo
HahahahaNasubiri kwaya ya rose muhando kama wataweka kubalance uislam na ukristo
Yanaitwa maulidi ya homuSio kaswida nyimbo za asili ya Unguja
KumbeYanaitwa maulidi ya homu