Singa: Kijiji kilichokuwa tajiri kuliko vyote Tanzania kabla na baada ya uhuru

Singa: Kijiji kilichokuwa tajiri kuliko vyote Tanzania kabla na baada ya uhuru

Haa [emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji1][emoji16][emoji23][emoji1787]
Wewe Jamaa Ni Ujanjaujanja
Korogwe Hapo Mgombezi,
Yap hapo hapo,miaka ya nyuma kiuchumi kilikuwa juu sana,japo kwasasa hakuna kitu
 
Sio kweli kwamba ndiyo Kijiji tajiri Moshi
Kijiji nnachotoka mimi Moshi hukohuko
Kwanza kina mitaa viwanja vimepimwa kabisa
zamani wakati nipo mdogo kulikuwa na
Mashine ya kusaga na kukoboa ya Kijiji
Mpaka leo ipo
Trekta la Kijiji limekufa miaka ya karibuni
Dcm la Kijiji limekufa pia
Duka la Kijiji wameshalinywa halipo tena
Duka la kilimo la Kijiji pembejeo za kilimo aina zote zilikuwepo hapo
Kulikuwa Kuna mifugo ya Kijiji ni kama ranch sijui ndiyo ranch mnaita
Kubwa kabisa ngombe wale wakisasa wanaitwa kulikuwa kuna wafanyakazi wa huo mradi kabisa asubuhi tulikuwa tunaenda kununua maziwa tunapanga foleni
Kuna mashamba ya Kijiji makubwa Sana
Na yapo vizuri sana utaratibu uliokuwepo Kama mwanakijiji unahitaji kulima kwenye shamba kwenye eneo la Kijiji unaenda ofisi ya Kijiji unawaambia unalipia elfu 10 unaenda kupewa eneo la heka moja unakuwa unalima kila mwaka unalipia elfu 10 inakuwa hivyo miaka yote linakuwa Ni Kama lako ila sio lako ni lakijiji sijajua Kama wamebadili utaratibu kwa Sasa

Lakini pia wajapani walikuwa na shirika lao kule wakaleta mradi wa kilimo cha mpunga eneo la mashamba ya wananchi yaligeuzwa kuwa mashamba ya mpunga
Na baadhi ya mashamba ya Kijiji yalifanywa kuwa ya mpunga pia
Ni mashamba ambayo yapo katika vipimo maalumu na yamewekwa level sawa kwaajili ya wepesi wa kumwagilia miferegi ya maji imejengwa kwa zege vizuri

Kijiji kina mashamba hayo ya mpunga ambayo nadhani yanaweza kufika 100 au kukaribia idadi hiyo
Na kwa Sasa kukodi shamba moja ili ulime mpunga ni laki nne
Katika mashamba ya mpunga ya wanakijiji,uongozi wa Kijiji ndiyo unaratibu kila kitu na maji huwa yanalipiwa ofisi ya Kijiji ili kubalance maji kwa kuwa mashamba ni mengi Sana kuna wakati watu hutakiwa kulima mahindi na wengine hulima mapinga kwa kuwa mahindi hayahitaji maji mengi Kama mpumga

Kuna maeneo kwa ajili ya shule na makanisa kuna kanisa la roma na kkkt
Kanisa la roma ni poroki kwa waroma wanaelewa
Eneo la shule ni kubwa sana zamani ilikuwa ni shule ya msingi ila ilikuja kujengwa shule nyingine ya msingi na likagawanywa eneo kwaajili ya sekondari pia ukiangalia jiografia ya Kijiji ni kama eneo la msikiti halikutengwa ila msikiti upo na eneo lake ni dogo tu nadhani waisilamu walikuja baadae baada ya Kijiji kuwa kimeshaanzishwa
Kuna mchanganyiko mchanganyiko wa watu makabila mengi tu japo wachaga ni wengi
Kila mwaka barabara muhimu zilikuwa zinachongwa
Adhani miradi mingi imekufa kwa ufisadi tu
Kuna muingiliano mkubwa tu wa watu. Kwa Sasa
Hata viongozi wa Kijiji wengine ni wakuja tu
Hapa sio Mabogini kweli?
Au ni Arusha chini?
 
Yap hapo hapo,miaka ya nyuma kiuchumi kilikuwa juu sana,japo kwasasa hakuna kitu
Napajua Sana Hapo Mgombezi, Pia Kibosho Manushi Juu
Manushi Ndoo Nilikuwa Huko Siku Chache Zilizopita
 
Duh

Vichaa wengi nchi hii....

Nilidhani unatoa turnovers za uzalishaji na living standards kwa takwimu kumbe ni upumbavu wa "kiroho" na ujinga mwingine mwiiingi wa chooni huko
Ndio sifa za kijiji chenu ama za mji uliopo?
 
Nilipokuwa uko nasoma A Level nilikuwa natoroka kwenda maeneo ya karibu na mlima Kilimanjaro geti nimelisahau jina ila vijiji vya karibu vilikuwa vimepimwa. Unapita shamba na shamba unaona vipimo vimenyooka.

Hata hivo watu wa uko wanapenda migogoro ya ardhi. Unakuta mtu ana kiwanja cha 500×400 analazimika akipige fensi chote. Unakuta geti zuri na ukuta mzuri unaamini hili jumba ndani kali, ukikaona ni kajumba ka room nne kabaya.

Ila kuna designers wazuri wa mageti.

Demu wangu Diana alikuwa mzuri mpaka leo natamani nirudi uko. Nilikutana nae katika harakati za kujiandikisha NIDA. Mwakani likizo namfata haolewi leo wala kesho
 
Ndio kijiji TAJIRI KULIKO VIJIJI VYOTE TANZANIA?

Are you smoking something?

Takwimu ziko wapi kuonesha ni Kijiji Tajiri kuliko vyote?

Takwimu za uzalishaji,kama ni kilimo,ufugaji,viwanda,etc?...Takwimu za maisha ya watu,nyumba bora,idadi ya shule bora,idadi ya engineers,madaktari,bwana shamba,etc per capita ziko wapi?

Hujataja hivyo vyote,upo hapa unasema ni kijiji TAJIRI kuliko vyote Tanzania with no statistic whatsoever ku-prove your claim....

You must be on something very strong!
Utajiri wa eneo unatokana na idadi ya watu,elimu zao,uwezo wao au ni vitu vilivyokuemo?
 
Singa ni kijiji kilicho katika kata ya Kibosho mashariki, wilaya ya Moshi vijijini katika mkoa wa Kilimanjaro.

Wakaazi wa eneo hili ni Wachagga wa Kibosho japo siku hizi kuna wapare wengi na makabila mengine kama wasambaa na hata wahaya(wengi ni wajenzi). Kijiji cha Singa kimegawanyika sehemu maeneo matatu,Singa juu, Singa kati na Singa chini. Sehemu zote zimeunganishwa na barabara kubwa inayoenda Kibosho mission.
Kijiji hiki kilikuwa na kila kitu miaka hiyo.
Kilikuwa na kina huduma zote za kijamii kama
Shule za msingi, shule za sekondari vyuo mbalimbali, hospitali na hata nyumba za ibada (kasoro msikiti)
Kijiji kilikua kinalima mazao mbalimbali pia. Kilikua na basi kubwa la abiria maarufu kama Ndewedo.

Kijiji hiki kina historia kubwa sana kiroho,kwani wajenzi wa kanisa la Kibosho walifia kwenye mto unaoitwa Nsoo na kuliwekaa msalaba kama kumbukumbu,kila mwaka kulifanyika ibada eneo hilo
lakini msalaba huo ulivunjika miaka ya 2003 na haukurushwa tena.

Kuna eneo linaitwa "Odaa" lina historia ya kushangaza sana (kuna kitabu cha historia ya hapa).

Kijiji kilikuwa na sifa zote ujuazo lakini kwa sababu ya utendaji mbovu mbovu wa serikali basi kimefilika kwa sasa. Jambo la kushangaza pamoja na yote lakini hakuna kituo cha polisi hata kimoja na bado barabara yake mpaka leo haina lami japo ndio inayopitisha wagonjwa mbalimbali,dawa na mizigo inayokwenda hospitali ya Kibosho na kanisa Katoliki Kibosho.

Serikali na wadau wanakwama wapi kujenga kituo kidogo cha polisi? Kuna majumba makubwa ka mahekalu lakini kituo cha polisi hakuna.

Kijiji gani zaidi ya hiki Tanzania?
Picha
 
KWA UJUMLA MKOA WA KILIMANJARO KWA SASA WOTE UMEDUMAA I DONT KNOW REASON ? only god can rescue
 
....Demu wangu Diana alikuwa mzuri mpaka leo natamani nirudi uko. Nilikutana nae katika harakati za kujiandikisha NIDA. Mwakani likizo namfata haolewi leo wala kesho

Wait wait wait a second!

You just said Diana! Geti gani tafadhali!
 
Wait wait wait a second!

You just said Diana! Geti gani tafadhali!
Upande wa Mandao. Kuna mteremko mkali na kona nyingi ukiwa unapanda. Kuna centre flani ya kwanza kabisa ukishuka, ukishaachana na geti ukaja kwa raia. Ila maeneo yale kuna watoto wazuri balaa
 
Back
Top Bottom