Singa Singa Aua mtu kwa Bastola Kinondoni Mkwajuni


Hahahahahahahahaaaaaaaaaa!!!
 
Hapo ndugu wa marehemu nao sasa walipize kisasi, yaani iwe jino kwa jino maana polisi haipo tena kwa manufaa ya raia. Ndugu nao waue Karasinga 1 baada ya mwingine maana wanafanana mno!! Tumbaf zao kabisa tumewahifadhi halafu wanatuletea mambo ya Pakstani na India hapa!! Na sisi wa-TZ jamani kwa uoga tumezidi, yaani jamaa anaua ndugu yenu anadandia pikipiki nyie mnamwangalia tu!!!??
 
Huyo hawezi kuwa SABODO kweli yule mfadhili wa Ule Mtandao wa Youtube?
 
IGP ameliharibu jeshi la Polisi....inabidi alirekebishe kabla hajaamua kuomba kustaafu!!asituachie jeshi likiwa vipande vipande...
 
RAIS WANGU KIKWETE LAANA YA NCHI HII UMEILETA WW NAYO ITAKUTAFUNA BABA,sasa 2natofauti gani nchi zenye vita ya wnyw
 
FBI warudi waingilie kati watucholee mchoro tutampata
 
Sasa nguvu zote polisi wameelekeza kupambana na CHADEMA,wanasahau usalama wa raia na mali zao! inauma sana.
 

loh watangazaji wengine we acha tu yaani ni K 3[kusoma,kuandika nakuhesabu],! Redio nyingine bwana hivi zina wahariri kweli/ ?
  • mtu anadondoka na pikipiki halafu ananyanyuka akiwa na chupa pombe[wine/?] anaendelea kuinywa! hivyo pikipiki ilikuwa ya matairi sita au nane?alipoanguka hakuumia wala kupata mshtuko? hiyo chupa ilisevu vipi impact ya ajali haikurushwa mbali wala haikuvunjika? au labda alifungua droo ya pikipiki baada ya ajali na kutoa chupa ya wine nakuanza kuinywa?
  • Wananchi walioshuhudia tukio hilo kwa bahati mbaya hawakuweza kuchukua namba za pikipiki ile?/ila waliiona chupa ya wine na bastola?
  • WAPO FM , mna mhariri kweli au ndio ile ile kanjanja style wonders will never end


 
Tunakuaminia mkuu hebu lete maapdeti maana sasa hivi inabidi ukitoka home uvae vest ya bullet proof aisee kama SWAT

Inabid ku connect matukio yote ya haya mauaji kuanzia dereva wa dala dala sinza, ya kikwajuni na huko tegeta kama ni kwel imetokea tena. Then mashuhuda ya haya matukio watuambie kama muuaji ni huyo huyo singa singa.tukishapata uhakika kama muuaji ni the same person tufanye screening kwa hao marehemu wote kujua undani wa ID zao! Kama ni just civilians au walikuwa undercover kwenye system au illegal busnes. Tukipata yote hayo nadhan tutaweza kupata sababu za mauaji.

huenda ikawa kuna mtu ana list ya targeted object(person) kutokana na sababu flan flan..napata mashaka kuamini kwamba hao marehemu wote wamepatwa na umati kwa just conflicts za kawaida tu hvyo barabarani! Mbna daily tunakwaruzana na watu kibao tu kwenye folen huku barabarani ila hayatokei haya majanga? Kama chanzo ni kukwaruzana tu njian wa ngapi wangepigwa risasi kwa siku?

R.I.P KWA WOTE WALIOPATA UMAUTI.MUNGU AZITIE NGUVU FAMILIA ZAO.
 

Mzee unafaa kuwa fbi
 
Kwa mujibu wa mashuhuda aliefanya mauaji ni mwarabu-koko, sio singasinga. Wengine wanasema anafahamika maeneo hayo ya tukio, na walisikia akitajwa kwa jina katika purukushani zile. Pengine ni jambazi sugu na mashuhuda wengine wanasema alikutwa na taser na chupa ya Smirnoff Vodka. Sidhani kama kuna intelijensia makini watashindwa kumkamata he is too stupid to be perfect criminal.
 
Hii ni sawa tutakuwa tunaheshimiana. Unakuta mtu anakutukana matusi mazito barabarani kama walivyozoea hawa waendesha daladala, unamlabua domo lake kwa pisto.

Mnakumbuka issue ya marehemu Ditopile, dereva wa daladala kamgonga na baada ya kumkimbiza kumuuliza mbona unakimbia conductor akaanza kuporomosha matusi, ikiwa hivyo na umeongozana na mkeo, binti yako au mkweo unafanyaje zaidi ya kumlabua.

Afrika kusini wanaheshimiana wazungu kwa waafrika kwa mtindo huu, ukijua nina uwezo binafsi wa kukudhibiti tutaombana msamaha badala ya kukashifiana kwa matusi ya nguoni.
 

wine in ze head tena,singasinga kupatikana kwa maelezo hayo ni ngumu
sana,cha muhimu wamswalie marehemu apumzike kwa amani,mazingira
hayasaidii sana kupatikana kwa muuaji
 

mpe dili DPP
 

makachero wana login Youtube kwanza
 
Polce wako busy kuiua Chadema, waharfu fanyen mambo yenu
 

Ukienda hospitali kwa matibabu husuani ya minyoo inaelekea wewe ukiambiwa "Nenda Kalete Choo" utaenda nyumbani kwenu na kuhangaika na jengo la choo kwa ajili ya kupeleka kwa daktari. Read/Understand/Grasp and Go!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…