Singa Singa Aua mtu kwa Bastola Kinondoni Mkwajuni

Ukienda hospitali kwa matibabu husuani ya minyoo inaelekea wewe ukiambiwa "Nenda Kalete Choo" utaenda nyumbani kwenu na kuhangaika na jengo la choo kwa ajili ya kupeleka kwa daktari. Read/Understand/Grasp and Go!!!

Not again hata hilo ulilolileta hujui unaongelea nini;

  • Umeamua kuwa hususani na minyoo sasa mbona hukuitaja ni ipi ?
  • minyoo ipo ya aina nyingi na sio yote hupimwa kwa kutumia choo.
kufuatana aina ya minyoo


  • wapo wanaopimwa kwa njia ya damu [kama inavyopimwa malaria kwenye ncha ya kidole]
  • kipimo nyama[biopsy]
  • mkojo
  • NK
Umeamua kuwa mahususi kwenye choo
kwa taarifa yako mgonjwa hupewa chombo maalum cha kuwekea hicho choo, na kama ni mahali ambapo huduma za afya bado ni duni mhusika hupewa ganda tupu la kiberiti na kushauriwa aweke haja yake[kubwa ] humo na kuwapatia wanaomtibu

  • .Habari ya kalete choo unaijua wewe

Read/Understand/Grasp and Go!!!


  • Kwa taarifa yako
-Ninasoma
-Nina analyse
na ninaelwa,
kama sijaelewa nauliza kabla ya kukurupuka
na kutoa mifano ya ajabu
REDIO HIYO INAHITAJI WAHARIRI
 
Je ndiye huyo aliyekamatwa Tabata?
 
Singasinga was under the influence of alcohol and then he was provoked by the dead man.! Hapo kimsingi hana case ya kujibu kwa sheria za Tanzania..!
alo mi sijui kabisa mambo ya sheria lakini kama sheria zenyewe ndo zipo hivyo aaah inakatisha tamaa.Lakini ulichosema ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…