Bawa mwamba
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 350
- 32
Not again hata hilo ulilolileta hujui unaongelea nini;Ukienda hospitali kwa matibabu husuani ya minyoo inaelekea wewe ukiambiwa "Nenda Kalete Choo" utaenda nyumbani kwenu na kuhangaika na jengo la choo kwa ajili ya kupeleka kwa daktari. Read/Understand/Grasp and Go!!!
- Umeamua kuwa hususani na minyoo sasa mbona hukuitaja ni ipi ?
- minyoo ipo ya aina nyingi na sio yote hupimwa kwa kutumia choo.
- wapo wanaopimwa kwa njia ya damu [kama inavyopimwa malaria kwenye ncha ya kidole]
- kipimo nyama[biopsy]
- mkojo
- NK
kwa taarifa yako mgonjwa hupewa chombo maalum cha kuwekea hicho choo, na kama ni mahali ambapo huduma za afya bado ni duni mhusika hupewa ganda tupu la kiberiti na kushauriwa aweke haja yake[kubwa ] humo na kuwapatia wanaomtibu
- .Habari ya kalete choo unaijua wewe
Read/Understand/Grasp and Go!!!
- Kwa taarifa yako
-Nina analyse
na ninaelwa,
kama sijaelewa nauliza kabla ya kukurupuka
na kutoa mifano ya ajabu
REDIO HIYO INAHITAJI WAHARIRI