Singeli: Aina mpya ya mziki Tanzania

Singeli: Aina mpya ya mziki Tanzania

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hii ni aina mpya ya muziki nchini yenye mahadhi ya mnanda mnanda hivi.

Kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM kuna wasanii walipanda na kuanza kushusha vitu vyenye hisia sana.

Kwa mwenye mp3 au link ya jinsi ya kupata singeli aturushie hapa.
 
Wapo jangwan nw ngoja warudi utapata unachokitafta..
 
Msaga sumu ndo mafalme wao, japo saivi nimetokea kumpenda Man fongo , kuna mmoja kaimba wimbo unaitwa HAUNA nauoenda sana, na mwingine kaimba singeli video nzuri sana ushuani na uswazi nimemsahau jina....nashauri Diamond apige singeli moja atakuwa kaupaisha huu mziki sana
 
Hongera Sholo Mwamba....kwa kuifanya singeli kuwa muziki wa wastaarabu
 
keep on singeli is the big vibe in Tanzania
 
Post za mwanzo wakongwe na wwnaofuwata ukongwe 😂🤣😂🤣

Singeli singeli

Billboard tutaingia na kupata namba nzuriiiii..
 
Back
Top Bottom