Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Hivi karibuni Mh. Kabudi aliliambia Taifa kuwa muziki wa Singeli ndiyo utakuwa muziki wa kulitambulisha Taifa. Watu tulibaki midomo wazi kwa kushangaa kuwa ni Singeli gani hiyo! Je ni Singeli hii hii wadada wanacheza bila kuvaa chupi?
Yaani hii? Watanzania kwisha habari yetu!
Yaani hii? Watanzania kwisha habari yetu!