Singeli ya Kabudi ndiyo hii au kuna nyingine?

Singeli ya Kabudi ndiyo hii au kuna nyingine?

Hivi karibuni Mh. Kabudi aliliambia Taifa kuwa muziki wa Singeli ndiyo utakuwa muziki wa kulitambulisha Taifa. Watu tulibaki midomo wazi kwa kushangaa kuwa ni Singeli gani hiyo! Je ni Singeli hii hii wadada wanacheza bila kuvaa chupi?

Yaani hii? Watanzania kwisha habari yetu!View attachment 3246167
huo uchafu wa pwani ndio amesema uwe alama ya Taifa. kwanza singeli ni alama ya watu wavivu, wasiojielewa, wachafu na masikini. (sikebehi ila ndio hivyo, singeli huchezwa na watu wa kimasikini tu). nani anapenda umasikini?
 
Hivi karibuni Mh. Kabudi aliliambia Taifa kuwa muziki wa Singeli ndiyo utakuwa muziki wa kulitambulisha Taifa. Watu tulibaki midomo wazi kwa kushangaa kuwa ni Singeli gani hiyo! Je ni Singeli hii hii wadada wanacheza bila kuvaa chupi?

Yaani hii? Watanzania kwisha habari yetu!View attachment 3246167
Singeri ni uchafu hata kama ikiwapelekea wasioijua lugha yetu.Labda inafaa wapelekewe wasio na maadili na staha kwa watu wa ulaya ila sii Amerika ya leo ya Mzee wa Maadili na nidhamu,mkiipeleka kwa Wafaransa sawa na washenzi wengine wa ulaya wanaoamini katika ushenzi.Nashaanga hata nyumbani tumeshindwa kuhakikisha inazaliwa hiyo singeri yenye maadili hata tunawaza kwenda kuwauzia wenzetu uchafu.
 
Hivi karibuni Mh. Kabudi aliliambia Taifa kuwa muziki wa Singeli ndiyo utakuwa muziki wa kulitambulisha Taifa. Watu tulibaki midomo wazi kwa kushangaa kuwa ni Singeli gani hiyo! Je ni Singeli hii hii wadada wanacheza bila kuvaa chupi?

Yaani hii? Watanzania kwisha habari yetu!View attachment 3246167
Mkuu huwezi kuhukumu aina ya mziki kuwa mbaya kisa namna walivoamua kuucheza. Hata ngoma za Bon Mwaitege zinaweza kuchezwa hivo, utasema hazifai?

By the way naomba namba ya hilo sister lenye makeke nilitumie nauli.
 
Oya masela kama vipi tuanze kuwataja nyimbo za singeli zinazotamba.
N.b wimbo na msanii alouimba
Naanza na janja wa maskani

1. Dogo loki- mtafte mtafte
2. Kasim msela- raha ya dela
3.Mdogo Askal ft Butti Kubwa - Siwaoni R I P
5.Meja_Kunta_Feat_D_Voice_-_Madanga_ya mke wang
6.
 
Mbona ccm yote ni jalala
Nafikiri ni zaidi ya hapo,fikiria chafuzi zote anuai wa wanahusika uchawa,ufisadi,uenguaji chaguzi chafuzi,bao za mikono,wizi,utekaji na upotezaji,uuaji.
 
Mbona ccm yote ni jalala
Nafikiri ni zaidi ya hapo,fikiria chafuzi zote anuai wa wanahusika uchawa,ufisadi,uenguaji chaguzi chafuzi,bao za mikono,wizi,utekaji na upotezaji,uuaji.
 
Kweli ukifikiria sana utatambua kuwa yawezekana tz ni channel ya vichekesho ukistaajabu ya kabudi kuibuka na wimbo wa taifa kuwa singeli utashangaa ya mama kuwa mchekeshaji bora nimecheka sana
 
Nafikiri ni zaidi ya hapo,fikiria chafuzi zote anuai wa wanahusika uchawa,ufisadi,uenguaji chaguzi chafuzi,bao za mikono,wizi,utekaji na upotezaji,uuaji.
Ccm ni 👉💩💩💩💩
 
Tutaonekana wendawazimu huko nje kama huu ndio utakuwa utambulisho wetu.
 
Wamevaa aisee.. wasingevaa pasingekalika humu... famasiala nini..

Tena hapo wametustahi sanaaa, huwa wanamwagia na maji.. wasipomwagia maji huwa wanacheza alaf mkono anaupitisha katikati ya Mlima sayuni... ili kutengeneza Lift valley...
 
Alipowaambia ametoka jalalani mlimuelewa?
 
Back
Top Bottom