Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kama Ngungus Boy alivyotuhakikishia kuifunga 5imba mpaka akapotoka madarakani.Mwigulu Nchemba huyo.!Keshawahakikishia
Hamna namna Singida atatoa bila hata Pira Kayoko kutumika
Nami nimeshangaa kweliKwahiyo humu mna mademu na mmekaa kimya!!
Mnahaidi vitu vya kipuuzi,sasa sisi mahusiano yako na demu wako yanatuhusu nini. ID zenyewe fake hata ahadi ni fake.Singida ni kama Simba tu kwetu. Huu ni mti wa mwembe wa uani. Unajichumia tu maembe. Singida toka ianzishwe sikumbuki kama imewahi toa hata draw na Sisi Wamba. Never. And never. It will never happen.
Nasema hivi. Leo hata wakitoa draw.nina demu humu ni Mkia Sports Club. Asikutane kimwili nami kwa week nzima. Na nipigwe ban week nzima.
Yanga msimu huu hatupotezi hata point moja. Hatuboi hatupoi,hawatoboi.
Singida ni Ihefu iliyochangamka ,atapigwa kama ngoma ,mandonga mtu kazi ,yanga bingwa.Singida ni kama Simba tu kwetu. Huu ni mti wa mwembe wa uani. Unajichumia tu maembe. Singida toka ianzishwe sikumbuki kama imewahi toa hata draw na Sisi Wamba. Never. And never. It will never happen.
Nasema hivi. Leo hata wakitoa draw.nina demu humu ni Mkia Sports Club. Asikutane kimwili nami kwa week nzima. Na nipigwe ban week nzima.
Yanga msimu huu hatupotezi hata point moja. Hatuboi hatupoi,hawatoboi.
Unaumia ukiwa wapi?Mnahaidi vitu vya kipuuzi,sasa sisi mahusiano yako na demu wako yanatuhusu nini. ID zenyewe fake hata ahadi ni fake.
Mjini hapa. ...kila kwenye kusanyiko jihakikishie nawe unapata kitu mtuKwahiyo humu mna mademu na mmekaa kimya!!
Niumie vip wakati sikujui hata ID fake ndio maana hata unacho ongea fake.Unaumia ukiwa wapi?
Evelyn Salt bro wewe ushapata demu?Mjini hapa. ...kila kwenye kusanyiko jihakikishie nawe unapata kitu mtu
Ameshasoma uzi nimemwambia ajitaje na kasema Singida wakishinda atatoa kipochi unyevu kwa mtu humu ndani.ungemtaja kabisa demu wako, ili tumshikirie kabisa