Singida akitoa hata Draw na Yanga nipigwe Ban week 1. Na Demu wangu wa humu asinipe kitu pia

Singida akitoa hata Draw na Yanga nipigwe Ban week 1. Na Demu wangu wa humu asinipe kitu pia

Yanga kapewa odds 1.68.

Kwa timu kubwa kama Yanga ni nyingi sana,anaweza kupasuka au kutoa droo.

Ngoja tuone
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Back
Top Bottom