Pre GE2025 Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haitasaidia kitu. Sana sana ni kuzidisha maumivu tu kwa upande wa hao wakamataji. Kukamata siyo mbinu tena ya kutishia watu tena. Wajikite katika wizi wa kura, hapo wanaweza kuwa na nafasi kidogo.
 
Waambieni wasishinndane na mtu aliyetandikwa risasi kumi na sita mwili ukachanika kama tambara ila kapona, pengine ni mzimu.

Hao watumishi wa Bwana wawaeleze watu ukuu na Miujiza ya Mungu kwenye mambo magumu kama ya Lissu waachane na politiki
 
..CCM wamepoteana kabisa.

..hakuna anayeweza kukabiliana na Lissu kwa hoja.

..nahisi muda si mrefu watamkamata na kumfungulia kesi.
 
..CCM wamepoteana kabisa.

..hakuna anayeweza kukabiliana na Lissu kwa hoja.

..nahisi muda si mrefu watamkamata na kumfungulia kesi.
Naona mkongwe umejitoa fahamu
 
Akili ndogo wapi,wakati ni kweli nchi imepoteana hii.

Mtu ukisema ukweli unazimwa kama taa kmmk.
Kwanza kabisa ni matumizi ya matusi

Pili ni kushindwa kuelewa mifumo ya serikali yoyote against vicoba
 
Mimi hao viongozi wa kiimani wakikamatwa kwenye majukwaa ya siasa wala sina huruma nao tena nasema wakomeshwe sana!
 
Mimi naona Pale ambapo asilimia kubwa ya wananchi watapa elimu itayowapa uwezo wa kujitambua, kutafakari na kuchakata mambo kadhaa ndiyo itakuwa mwanzo wa maendeleo .
Hata Mwl alipiga vita ya ujinga baada ya kupata uhuru .
 
MaCCM yote yana akili za kikwuma ndio maana yanatumia mbinu za kizamani kuziba watu midomo
Asante umewawakilisha vizuri chadema,chadema wote wapo kama wewe,wana akili kama zako , people's.......
 
Askofu MWANAMAPINDIZI kiboko cha Wezi.
 
Hata DP world walibisha sana lakini sasa bandari imechukuliwa na mapato ni siri kati ya Samia na DP world.

Hata mkopo wa Korea itakuwa hivyovyo we subiri tu, muda ni mwl mzuri.
Akili imekaa sawa kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…