The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Askofu Wa kanisa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu mkuu, kuna "mamluki" wanaotafuta kuponywa gonjwa hilo baya.Wewe mamluki hufahamiki unapigania nini!
Haitasaidia kitu. Sana sana ni kuzidisha maumivu tu kwa upande wa hao wakamataji. Kukamata siyo mbinu tena ya kutishia watu tena. Wajikite katika wizi wa kura, hapo wanaweza kuwa na nafasi kidogo.Pre GE2025 - Mchungaji Msigwa: Tuungeni mkono CHADEMA ili tukatae mfumo wa ukandamizaji wa kikoloni uliopo
Mnyika amefunga ndoa 🐼 Kwahiyowww.jamiiforums.com
Nilishasema humu, mmejaa udini tu
Sasa kila mnapoenda mnasajili makasisi,
Safi sana, kamata hao mbuzi na weka ndani,
Je ndicho ninyi wana Ikungi mlichomtuma Samia?Hata DP world walibisha sana lakini sasa bandari imechukuliwa na mapato ni siri kati ya Samia na DP world.
Hata mkopo wa Korea itakuwa hivyovyo we subiri tu, muda ni mwl mzuri.
Waambieni wasishinndane na mtu aliyetandikwa risasi kumi na sita mwili ukachanika kama tambara ila kapona, pengine ni mzimu.
Hao watumishi wa Bwana wawaeleze watu ukuu na Miujiza ya Mungu kwenye mambo magumu kama ya Lissu waachane na politiki
😂🤣😁Itakuwa la mitume, au nasema uongo ndugu zangu
Akili ndogo tu could think of thatKuna mwamba mmoja huko IG akakomenti "usikute nchi inacheza vicoba huko nje ila hatujui tu"
Nilicheka sana asee!!
Naona mkongwe umejitoa fahamu..CCM wamepoteana kabisa.
..hakuna anayeweza kukabiliana na Lissu kwa hoja.
..nahisi muda si mrefu watamkamata na kumfungulia kesi.
Naona mkongwe umejitoa fahamu
Akili ndogo wapi,wakati ni kweli nchi imepoteana hii.Akili ndogo tu could think of that
Kwanza kabisa ni matumizi ya matusiAkili ndogo wapi,wakati ni kweli nchi imepoteana hii.
Mtu ukisema ukweli unazimwa kama taa kmmk.
Mimi hao viongozi wa kiimani wakikamatwa kwenye majukwaa ya siasa wala sina huruma nao tena nasema wakomeshwe sana!Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la Polisi mkoani Singida usiku huu limemuita kwa mahojiani Askofu Maxmillian Machumu (Mwanamapinduzi) kwa mahojiano baada ya kutoka kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu uliokuwa unafanyika katika kijiji cha Mangda Jimbo la Singida Kaskazini.
=====
Hatimaye Baada ya kuhojiwa Baba Askofu ameachiwa kwa dhamana usiku huu
Asante umewawakilisha vizuri chadema,chadema wote wapo kama wewe,wana akili kama zako , people's.......MaCCM yote yana akili za kikwuma ndio maana yanatumia mbinu za kizamani kuziba watu midomo
Hii nchi sisiem wanataka tuwe kuku wa madoli(broiler).
Maisha haya mtu akiisema serikali anakamatwa sijui yataisha lini.
Akili imekaa sawa kumbeHata DP world walibisha sana lakini sasa bandari imechukuliwa na mapato ni siri kati ya Samia na DP world.
Hata mkopo wa Korea itakuwa hivyovyo we subiri tu, muda ni mwl mzuri.