Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mwigulu Nchemba ndio mwenye jambo lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo hilo tawi lenu haliwezi hata kupata drooSiku mkinipigia Makolo was Dewji ntaanza kuwasapot
Kama Mwigulu Lameck Nchemba hajaonekana mahali popote pale kwenye uongozi/udhamini/umiliki wa hii timu, basi mtakuwa mmetuchezea shere Watanzania.
Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki Ligi Kuu ya NBC (2022/2022).
Singida Big Stars ni klabu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake mjini Singida. Klabu yeu ilibadili jina kutoka DTB Football Club na kuwa Singida Big Stars Football Club baada ya kufuzu kuingia ligi kuu kutokra ligi daraja la kwanza.
HISTORIA
Klabu ya Singida Big Stars imeanzishwa na kupata usajili wake kamili chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) tarehe 20 Desemba 2021.
Singida Big Stars inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) na ni miongoni mwa klabu mpya kabisa kwenye ligi.
Tangu ilipopanda ligi kuu, Singida Big Stars imevutia watu wengi kitaifa na kimataifa na kutajwa miongoni mwa klabu zenye kuleta matumaini makubwa nchini Tanzania.
Klabu yetu imesajili wachezaji wazoefu, wanaojulikana na wenye vipaji vya hali ya juu kutoka Tanzania na sehemu nyingine duniani kama vile Brazil, Argentina, Angola, Ghana, Rwanda, Burundi na kwingineko - ili kuisaidia klabu kufikia dhamira yake kuu ya kutwaa mataji na kuzipa chalenji klabu mbili kubwa ambazo zina mashabiki wengi nchi nzima, Simba SC na Yanga SC, katika hali ya ushindani.
Klabu yoyote inaweza kufanikiwa kupitia juhudi za pamoja za mashabiki na wapenzi wake na Klabu yetu inatambua umuhimu huo katika maendeleo ya Klabu. Uwekezaji wa siku zijazo utaendelea kuelekezwa katika suala la kuboresha kikosi, kuboresha uwanja na maeneo ya mazoezi, vifaa na kushirikiana na jamii.
KIKOSI
Singida Big Stars ina jumla ya wachezaji 27 ambapo 12 kati yao ni wachezaji wa kigeni na 15 ni wachezaji wa ndani.
MAKAO MAKUU
Makao Makuu ya Timu Singida Big Stars ni mkoani Singida, Tanzania.
UWANJA
Uwanja wetu wa mechi za nyumbani ni Uwanja wa CCM Liti (zamani CCM Namfua).
MFUMO WA TIMU
Timu yetu inaendeshwa kwa mfumo kampuni ambapo ina bodi ya wakurugenzi inayoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi pamoja na sekretarieti/menejimenti.
Pia, timu yetu inajiendesha kibiashara ambapo masuala yote ya kiungozi na kiutawala yanafanyika kupitia Bodi ya Wakurugenzi na Sekretarieti husika.
BENCHI LA UFUNDI
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars ni Hans van der Pluijm. Kocha Msaidizi ni Mathias Lule. Kocha wa Makipa ni Stephane Bire na Meneja wa Timu ni Nizar Khalfan.
Wengine ni Daktari wa Timu, Msaidizi wa Daktari, Mtunza Vifaa na Dereva wa Timu.
WADHAMINI
Kwa sasa, klabu ya Singida Big Stars imesaini mkataba na SportPesa kuwa Mdhamini Mkuu wa Klabu. Wadhamini wengine wa klabu ni Azam TV, GSM, Maji ya Uhai (Bakhresa), Benki ya NBC, Meru Sunola, TBL, Vunjabei na Airtel.
Mazungumzo yanaendelea na makampuni mengine ili kuweza kupata nguvu zaidi ya kifedha na huduma ili kuiwezesha klabu kujiendesha kibiashara na kuzisaidia kampuni hizo eneo la matangazo na mengineyo ya kibiashara.
SAFU YA UONGOZI
1. Ibrahim Mirambo - Mwenyekiti
2. Dismas Ten - Afisa Mtendaji Mkuu
3. Tabitha - Mkurugenzi Fedha na Masoko
4. Anatoly Nyaki - Mwanasheria
5. David Migongo - Muhasibu Mkuu
6. Hussein Massanza - Meneja Habari na Mawasiliano (Msemaji)
7. John Kadutu - Mkurugenzi Utawala
Tungependa kujua mpango wenu ndani ya miaka mitano ijayoSiri ya yote haya ni taaluma. Tunafanya kila kitu kwa kuzingatia weledi na kufanya utafiti wa kutosha. Wadhamini wengi tuliowafuata na tunaoendelea kuwafuata wanashawishika na namna tunavyojieleza kwao, wakiangalia dhamira na mipango yetu wanaamua kutake risk na kuwekeza. Ni jukumu letu kuhakikisha tunafanya yale tuliyokubaliana nao. Hili la taaluma likawe somo kwa wenzetu.
Kama Singida Big Stars ni Kampuni, Je ni nani mwenye hisa nyingi zaidi ?
Mbna Sasa watu wanna mtaja taja mwigulu kumbe Hana timu hapa jmn wtz
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na kama sio yake mbona singida ina vinasaba vya YangaPengine kwa sababu anajulikana ni mdau mkubwa wa soka, anatokea Singida na alishawahi kumiliki timu ya mpira huko nyuma. Hatuwezi kuwazuia kuwa na hisia hizo.
Ni kuwaelewesha tu taratibu. Ipo siku wataelewa.
Je Ni timu gani aliwai kumiliki embu nikumbushePengine kwa sababu anajulikana ni mdau mkubwa wa soka, anatokea Singida na alishawahi kumiliki timu ya mpira huko nyuma. Hatuwezi kuwazuia kuwa na hisia hizo.
Ni kuwaelewesha tu taratibu. Ipo siku wataelewa.
Sawa , ni Private company , swali langu katika kuwa Private Company , mwenye hisa zaidi ni nani ?Kampuni yetu haiko listed hivyo sio mali ya umma. Tukitangaza kuuza hisa au kutafuta washika dau au ikiwa listed kwenye masoko ya hisa, basi tutaweka hadharani shareholders wote. Kwa sasa hatuoni ulazima wa kufanya hivyo.
Tunaomba jina kamili la mkurugenzi wa fedha na masoko
Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki Ligi Kuu ya NBC (2022/2022).
Singida Big Stars ni klabu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake mjini Singida. Klabu yeu ilibadili jina kutoka DTB Football Club na kuwa Singida Big Stars Football Club baada ya kufuzu kuingia ligi kuu kutokra ligi daraja la kwanza.
HISTORIA
Klabu ya Singida Big Stars imeanzishwa na kupata usajili wake kamili chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) tarehe 20 Desemba 2021.
Singida Big Stars inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) na ni miongoni mwa klabu mpya kabisa kwenye ligi.
Tangu ilipopanda ligi kuu, Singida Big Stars imevutia watu wengi kitaifa na kimataifa na kutajwa miongoni mwa klabu zenye kuleta matumaini makubwa nchini Tanzania.
Klabu yetu imesajili wachezaji wazoefu, wanaojulikana na wenye vipaji vya hali ya juu kutoka Tanzania na sehemu nyingine duniani kama vile Brazil, Argentina, Angola, Ghana, Rwanda, Burundi na kwingineko - ili kuisaidia klabu kufikia dhamira yake kuu ya kutwaa mataji na kuzipa chalenji klabu mbili kubwa ambazo zina mashabiki wengi nchi nzima, Simba SC na Yanga SC, katika hali ya ushindani.
Klabu yoyote inaweza kufanikiwa kupitia juhudi za pamoja za mashabiki na wapenzi wake na Klabu yetu inatambua umuhimu huo katika maendeleo ya Klabu. Uwekezaji wa siku zijazo utaendelea kuelekezwa katika suala la kuboresha kikosi, kuboresha uwanja na maeneo ya mazoezi, vifaa na kushirikiana na jamii.
KIKOSI
Singida Big Stars ina jumla ya wachezaji 27 ambapo 12 kati yao ni wachezaji wa kigeni na 15 ni wachezaji wa ndani.
MAKAO MAKUU
Makao Makuu ya Timu Singida Big Stars ni mkoani Singida, Tanzania.
UWANJA
Uwanja wetu wa mechi za nyumbani ni Uwanja wa CCM Liti (zamani CCM Namfua).
MFUMO WA TIMU
Timu yetu inaendeshwa kwa mfumo kampuni ambapo ina bodi ya wakurugenzi inayoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi pamoja na sekretarieti/menejimenti.
Pia, timu yetu inajiendesha kibiashara ambapo masuala yote ya kiungozi na kiutawala yanafanyika kupitia Bodi ya Wakurugenzi na Sekretarieti husika.
BENCHI LA UFUNDI
Kocha Mkuu wa Singida Big Stars ni Hans van der Pluijm. Kocha Msaidizi ni Mathias Lule. Kocha wa Makipa ni Stephane Bire na Meneja wa Timu ni Nizar Khalfan.
Wengine ni Daktari wa Timu, Msaidizi wa Daktari, Mtunza Vifaa na Dereva wa Timu.
WADHAMINI
Kwa sasa, klabu ya Singida Big Stars imesaini mkataba na SportPesa kuwa Mdhamini Mkuu wa Klabu. Wadhamini wengine wa klabu ni Azam TV, GSM, Maji ya Uhai (Bakhresa), Benki ya NBC, Meru Sunola, TBL, Vunjabei na Airtel.
Mazungumzo yanaendelea na makampuni mengine ili kuweza kupata nguvu zaidi ya kifedha na huduma ili kuiwezesha klabu kujiendesha kibiashara na kuzisaidia kampuni hizo eneo la matangazo na mengineyo ya kibiashara.
SAFU YA UONGOZI
1. Ibrahim Mirambo - Mwenyekiti
2. Dismas Ten - Afisa Mtendaji Mkuu
3. Tabitha - Mkurugenzi Fedha na Masoko
4. Anatoly Nyaki - Mwanasheria
5. David Migongo - Muhasibu Mkuu
6. Hussein Massanza - Meneja Habari na Mawasiliano (Msemaji)
7. John Kadutu - Mkurugenzi Utawala
Sawa , ni Private company , swali langu katika kuwa Private Company , mwenye hisa zaidi ni nani ?
Tabitha KidawawaTunaomba jina kamili la mkurugenzi wa fedha na masoko
Safi sana. Team imeweka kambi wapi Singida au Dar? Binafsi nitakuwa mshabiko wenu kwani ki asili pia ni wa kutoka hapo Singida.