Singida Big Stars Football Club | Special Thread

Tatizo kubwa la hizi timu zinazoibuka na kupata umaarufu wa ghafla ni:-
1.kukosa muendelezo.
2 kuwa na ushwahiba na Simba au Yanga na kugeuzwa km vitua vya kuwatunzia wachezaji. Mfano Singida United n.k
Je km viongozi wa Singida Big Stars mnatuaminisha vipi kwamba Your team is here to stay na haiko affiliated na Simba na Yanga? Ahsante.
 
Kama Mwigulu Lameck Nchemba hajaonekana mahali popote pale kwenye uongozi/udhamini/umiliki wa hii timu, basi mtakuwa mmetuchezea shere Watanzania.
 
Tungependa kujua mpango wenu ndani ya miaka mitano ijayo
 
Asante kwa kuufanyia kazi ushauri wangu kwa msemaji wenu...
Iko poa hii.
Kulikoni alivyokuwa akifungua uzi kila kukicha
 
Kama Singida Big Stars ni Kampuni, Je ni nani mwenye hisa nyingi zaidi ?

Kampuni yetu haiko listed hivyo sio mali ya umma. Tukitangaza kuuza hisa au kutafuta washika dau au ikiwa listed kwenye masoko ya hisa, basi tutaweka hadharani shareholders wote. Kwa sasa hatuoni ulazima wa kufanya hivyo.
 
Pengine kwa sababu anajulikana ni mdau mkubwa wa soka, anatokea Singida na alishawahi kumiliki timu ya mpira huko nyuma. Hatuwezi kuwazuia kuwa na hisia hizo.

Ni kuwaelewesha tu taratibu. Ipo siku wataelewa.
Na kama sio yake mbona singida ina vinasaba vya Yanga
 
Pengine kwa sababu anajulikana ni mdau mkubwa wa soka, anatokea Singida na alishawahi kumiliki timu ya mpira huko nyuma. Hatuwezi kuwazuia kuwa na hisia hizo.

Ni kuwaelewesha tu taratibu. Ipo siku wataelewa.
Je Ni timu gani aliwai kumiliki embu nikumbushe

Ila shida iko wapi mwigulu kuwa na timu kwahyo inaonesha kuwa timu ya namungo inamilikiwa na wazir mkuu au vip.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nimeangalia mechi ya SBS mko vizuri. Shida ni sustainability yenu mzee wa tozo akipigwa chini
 
Safi sana. Team imeweka kambi wapi Singida au Dar? Binafsi nitakuwa mshabiko wenu kwani ki asili pia ni wa kutoka hapo Singida.
 
Hii thread itakufa baada ya 2025. Labda kama na yenyewe itabadirishea jina
 
Kampuni yetu haiko listed hivyo sio mali ya umma. Tukitangaza kuuza hisa au kutafuta washika dau au ikiwa listed kwenye masoko ya hisa, basi tutaweka hadharani shareholders wote. Kwa sasa hatuoni ulazima wa kufanya hivyo.
Sawa , ni Private company , swali langu katika kuwa Private Company , mwenye hisa zaidi ni nani ?
 
Tunaomba jina kamili la mkurugenzi wa fedha na masoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…